Hizi Fedhea nimezichoka!

Hizi Fedhea nimezichoka!

Sasa unasafiri na gari ya bekitatu ya kuendea sokoni unategemea nini?😁😁😁 speed ya sokoni ni 10-20KPH mkuu. Ukiwa kwenye njia ya kurudia nyumbani ni 80KPH.

Ndio maana unanyanyasika road 😁
 
Natoka zangu Moro naenda Dodoma na vitz yangu ila napitwa na kila gari[emoji26][emoji26]....

Ikija rav4 inapita, ikija Ist inapita, likija basi linapita ukishindana nayo unaishia kujichosha tu [emoji22].

Kila root najiona mimi wa mwisho tu[emoji134]

Nakiuza hiki kigari nije huko huko kwenu[emoji2955]

Natafuta mnyama wenye 6cylinder. Hasa hasa Gx110[emoji123]

MITANO TENA[emoji3166]
Sasa unamwambia nani???.
 
Mkuu usipende miendo kwa hizi gari ndogo ambazo balance yake ni ndogo angalia sana usalama wako hivyo vigari ukipishana na roli nalo lipo speed naona kama linaweza kukutoa kwenye lami...Mimi hata niwe na gari gani upo naweka kwa hiyo gari sishindani na odometer kabisaa na sintakuja kufanya hivyo bora uzaurike ila ufike salama...ila unaweza kuondoa dharau kwa kupata gari ya safari ila sio ushindani...
 
unayadharau mabasi?...wewe na gari lako dogo jaribu kwenda sambamba na sauli bus dar-mbeya uone mziki wake.

sehemu pekee utakayompita ni kwenye mzani au kwenye kituo ambacho bus linalazimika kusimama ili abiria waende kula au kuchimba dawa.
View attachment 1740531
Mabasi hayana kikubwa cha kutisha sana.

Wao wanachoweza ni time management.
 
Mabasi hayana kikubwa cha kutisha sana.

Wao wanachoweza ni time management.
time management yao inakuwa effected na dakika wanazopoteza kwenye mizani, kuchimba dawa, kula, tochi na kadharika.

halafu kwenye comment yangu nimeitaja sauli, sio basi zote zipo vizuri kwenye mwendo.
 
Bus zote speed mwisho 85 akizidisha hapo ni faini kwenda mbele so kwa speed hiyo hata IST akitembea 90 anaiacha.
time management yao inakuwa effected na dakika wanazopoteza kwenye mizani, kuchimba dawa, kula, tochi na kadharika.

halafu kwenye comment yangu nimeitaja sauli, sio basi zote zipo vizuri kwenye mwendo.
 
Back
Top Bottom