Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Mi huwa natumia 2hrs umbali wa 220km kwa passo 990
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gx 110 utauza nyumba soonNatoka zangu Moro naenda Dodoma na vitz yangu ila napitwa na kila gari[emoji26][emoji26]....
Ikija rav4 inapita, ikija Ist inapita, likija basi linapita ukishindana nayo unaishia kujichosha tu [emoji22].
Kila root najiona mimi wa mwisho tu[emoji134]
Nakiuza hiki kigari nije huko huko kwenu[emoji2955]
Natafuta mnyama wenye 6cylinder. Hasa hasa Gx110[emoji123]
MITANO TENA[emoji3166]
IST ikiwa na mzigo vizuri ukinyoosha goti hata 140 sehemu nzuri unatembea vzuri kabisa. Dar Moshi sehemu ambayo hamna kibao unatembea na 120-140kph vzuri tu. Ili mradi tu uwe makini.Bus zote speed mwisho 85 akizidisha hapo ni faini kwenda mbele so kwa speed hiyo hata IST akitembea 90 anaiacha.
mkuu tofauti ya mabasi na magari private ni kwenye 50 na mistari ya kutoovertakeIST ikiwa na mzigo vizuri ukinyoosha goti hata 140 sehemu nzuri unatembea vzuri kabisa. Dar Moshi sehemu ambayo hamna kibao unatembea na 120-140kph vzuri tu. Ili mradi tu uwe makini.
Hapo uko sahihi ndugu watu wengi wanayaogopa mabasi na wkt mwingine utasikia sijui mzunguko wa tairi ni mkubwa ajabu kweli kweli!Mabasi hayana kikubwa cha kutisha sana.
Wao wanachoweza ni time management.
Mi naona dereva anahusika pale gari mbili zenye specs sawa lkn sio eti una LC V8 upitwe na prado kavu,jiulize kwanini baadhi ya gari husifiwa kama suala ni dereva?Issue inakuaga siyo gari bali ni dereva...
...Lazima awe karibu na mkojo wa mwarabu..Msije kumdanganya tu kuwa Crown inaenda km14/Lita mjini!
Muongo sana weweWe kweli mvivu,mi na ka passo kangu mji kasoro meli to dar natumia masaa 2.30,nyoosha goti hilo,mtu barabara unakuta nyeupe unanyata sasa si lazima upitwe hata na bajaj ndugu
Sasa hiyo si kama pikipiki tu. Lazima wakuonee njiani.
mkuu usijidanganye hivo, bus zinatembea mpaka 120, mara nyingi tu nakua road nafukuzana na hizi sauli na newforce.... unakuta niko 120 na jamaa ananiovateki.
Kama unafuata sheria na alama za barabarani watakupita tu.Hii njia ya Mbeya na njia ya Mwanza mabasi naona hayana speed limit,jamaa wanatembea balaa nilijaribu kufukuzana nao nina landcruiser natoka Iringa nakuja Dsm, nafika mpaka 170km/hr ila nikiwapita nikipunguza popote hawa haswa Sauli nikachoka,mtu anaingia Iringa saa saba akitoka Dar asubuh kona zote zile ye anapita na speed zaidi ya 100 dah
Nimecheka sanaTatizo sio Vitz. Tatizo kwenye mashine ni DJ zero.
Hii kauli unaweza kuiongea kwenye miaka ya hivi karibuni.Mabasi hayana kikubwa cha kutisha sana.
Wao wanachoweza ni time management.
[emoji38][emoji38]Tatizo sio Vitz. Tatizo kwenye mashine ni DJ zero.