Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama umbali si mrefu. Hali hii imekuwa kero kwa wakazi na imekuwa ikikwamisha shughuli nyingi za kila siku.
Chanzo kikuu cha msongamano huu ni wingi wa malori , ambayo yamejaa katika maeneo mengi ya jiji.
Zaidi ya hayo, ujenzi unaoendelea katika barabara na miundombinu mingine unachangia kwa kiasi kikubwa kuzorotesha mtiririko wa magari