Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Inaitwa suzuki altoπŸ˜€πŸ˜€
 
Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?

Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?

Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!

Be serious dude!!!
Achana nao mara nyingi hayo huwa ni maneno ya maskini wakutupwa ambao hawana hata kadi za beki na kama zipo basi ziliishia kutoa boom.
 
Kumbe hujawahi kumiliki gari kaka hata la economic class🀣🀣🀣
 
Watu mna dharau sana asee, mtu kadunduliza kanunua combo chake mnasema sio gari kweli? Acheni madharau...
 
Kuna rafiki yangu alikuwa anataka nunua gari, akaja na Probox, nikamwambia kama unataka tuendelee na undugu wetu na kuheshimiana naomba uachane na huu upuuzi wako.

Hiki kidude utaenda paki wapi na ushuke useme nimeshuka kwenye gari.
 
Kuna rafiki yangu alikuwa anataka nunua gari, akaja na Toyota Porte (Me huwa naziita Hotpot) nikamwambia kama unataka tuendelee na undugu wetu na kuheshimiana naomba uachane na huu upuuzi wako.

Hiki kidude utaenda paki wapi na ushuke useme nimeshuka kwenye gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…