Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.

Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!

Nina Gari SUV nzuri, Montero intetcooler, Ila wachache Sana wanaifaham , naitumia nikitoka mkoani au nikiwa na watoto!

But J3 to Ijumaa nikiwa na michakati ya utafutaji Nina passo; wanaoyasema haya magari Ni Wenye uwezo wa Kuwa na Gari moja; Ni umaskini unawasumbua.
 
1.alteza
2funcarco
3rumion
4porte
5 ist

Hivi ndo vigari vya toyota sivipendi

6Passo
 
Nina Gari SUV nzuri, Montero intetcooler, Ila wachache Sana wanaifaham , naitumia nikitoka mkoani au nikiwa na watoto!

But J3 to Ijumaa nikiwa na michakati ya utafutaji Nina passo; wanaoyasema haya magari Ni Wenye uwezo wa Kuwa na Gari moja; Ni umaskini unawasumbua.
[emoji23][emoji23] Sasa mkuu kama unatembelea passo j3 hadi Ijumaa.. hii ndo level yako halisi.., hayo mambo ya montero unalazimisha tu... usi force mambo
 
[emoji23][emoji23] Sasa mkuu kama unatembelea passo j3 hadi Ijumaa.. hii ndo level yako halisi.., hayo mambo ya montero unalazimisha tu... usi force mambo

Maana wewe ndo ulinunua?
 
Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?

Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?

Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!

Be serious dude!!!
Hahaaaa wenye skonzi utawajua tu,ukali kama wote ( joking)
 
Hahahahaaaaaaa,nimejitahidi kuwatetea wenye vi-baby walker lakini bado ngumi za uso zinarushwa tu!!

Wenye vi-baby walker njooni huku mnadadavuliwa huku uwanjani kwenu.Msijifanye hamuuoni uzi.

Tusipotoshane!!!Hahahahaaaaaaa!!!!
Ukiona ukaripio ujuee washa kuja mkuu
 
Back
Top Bottom