Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Gari kama kichongeo cha penseliHuyo ni ndugu yake Porte
View attachment 1504290
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari kama kichongeo cha penseliHuyo ni ndugu yake Porte
View attachment 1504290
Hii gari kuna madogo wanaitumia kusambaza bidhaa za bakery. Nikasema hii ndio kazi yake. Hizi gari serikali inabidi wazipige ban.
Ukiwa na kigari aina hiyo akatokea mtu amekuudhi,unakanyanyua unakaweka mfuko wa shati.Unatembea mbelembele.
Ata bei ni ndogo kulinganisha na bei ya gariWatu weusi tabu nyingi sana, wanajifanya wanajua magari kuliko walioyatengeneza! Hata wale wa sent from my tecno & infinix & Samsung wanabeza hizi gari[emoji23][emoji23]
Niliifananisha na haka kadudeHakuna passo ya hivo