Hizi gari ni nzuri

Hizi gari ni nzuri

Hio gari nzuri kweli...nimeeindesha sana, ipo economical na nafasi ya kutosha ndani. Pia nmegongea mademu kadhaa humo ndani. Inafaa kwa matumizi ya familia isitoshe i think its better looking than Noah/ Voxy!
 
Haya matukio wanaume tumeyapitia sn. Tusidanganyane. Huu ndo ukweli. Hongera mkuu kwa kufunguka.
 
Isis sipendi taa zake za Mbele zilivyo kaa
Infact hii gari haina mvuto ukiiona mara ya kwanza. Af haipendezi ikijazwa jazwa maurembo sijui ma bumper kila upande inakuwa kama boti sijui linaboa.
Mi niliyoendesha ilikuwa haina makorokoro ipo so smart and nice looking.
 
Back
Top Bottom