Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

Mimi naona magari ya siku hizi wanauza technology tu mara utasikia lane departure assist, sijui collision iliyofanyaje na mambo kama hayo ila gari yenyewe haina maajabu.

Japo pia gari ya 2017 lazima bei yake itakuwa imechangamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…