Hizi gesti sasa...du,

s.fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2009
Posts
663
Reaction score
117
Mbali na kuwa zinajaa sana siku za sikukuu...kuna kitu nimegundua yani mh dunia hii
Nyingine eti zinamatundu ili kupiga chabo...sasa ngoma iko hivi! Hata kupiga chabo pia unalipia eti sh 500, yani unafika pale unamwona mhusika unatoa jero mzee unapelekwa kwenye tundu...na ukumbuke huku pia kuna foleni kama mnanunua luku vile!
Jamani...nyela nyela nyela, mwe!
 
Waacheni wazinzi wazike wanzizi wenzao aisee unaukumbuka hu usemi
 
na we unaonekana ushawahi kulipa hilo jero
 
c bora uangalie porn bila wasiwasi! unaangalia wabongo ata kuogo shida!
 
nooooo, hivi ni kweli unayo sema?
 
acha uji.n.ga, live inaraha yake
Live ina raha wakati unatokwa mijasho? Chenye raha ni kile usichotokwa na jasho hata kidogo...au ndo kula kwa jasho imekuwa pata raha kwa jasho?
 
Huyu anaepiga chabo mwisho wake unakuwa je?
 
si unajua watu wanaongea kwa ma Expirience

Hahhahhahaa..kazi kweli kweliiii...na pengine kuna watu kweli wanaacha shughuli zao wanaenda kuchungulia nyuchi za wenzao..ujinga kabisaaa aise!
 
Hahhahhahaa..kazi kweli kweliiii...na pengine kuna watu kweli wanaacha shughuli zao wanaenda kuchungulia nyuchi za wenzao..ujinga kabisaaa aise!
Hahahahaaaa kuna wenye hivyo vipaji...hujawahi ona movie ya Mzee Majuto inayoitwa Mzee wa CHABO?
 
Hahahahaaaa kuna wenye hivyo vipaji...hujawahi ona movie ya Mzee Majuto inayoitwa Mzee wa CHABO?

Si ndio ile anamchungulia mdada anafua the mkewe anamfuata na kumshika bega yeye anausogeza mkono wa mkewe kama vile kaguswa na jani hivi...

:lol::lol::lol:
 
Du ajira zenyewe ndo hizo? TRA wanapata je chao hapo?

Ajira ndogo ndogo hizo cjui kama TRA wana chao!! kama waokota makopo yale y plastiki m2 utafikiria hamnazo kumbe ndio ajira za j.k(jaka kilaza) ........
 
Si ndio ile anamchungulia mdada anafua the mkewe anamfuata na kumshika bega yeye anausogeza mkono wa mkewe kama vile kaguswa na jani hivi...

:lol::lol::lol:
Hiyo cha mtoto ipo maalum kwa chabo tu...inaitwa chabo...jamaa hadi alikuwa anatembea na ngazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…