Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie.
Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k,
Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali?
Je, yanafaida gani kwa wananchi?
Je, ina maana wananchi hawana macho kuona au masikio kusikia na kushuhudia mema hayo? Kwa nini nguvu kubwa namna hii itumike?
Je, Hatuoni wizara ya afya ingetumia mabango hayo kuelimisha umma juu ya magonjwa kama TB, UKIMWI n.k ingekuwa na manufaa zaidi kwa watanzania? Kwanini mabango haya yanawekwa nyakati za usiku pekee tena kwa kujificha?
Je, gharama zilizotumika zisingetosha kutatua changamoto ya barabara Mbinga - Kitete walau kwa changarawe? Hapa ndipo taifa tulipofikia. INASIKITISHA