Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Wapi huko??Sisi iliungua tukiwa ndani ya gari hatari mpaka ikaanza toa mosho ndo watu wakaanza kupiga kelele mpaka kushuka moshi umejaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko??Sisi iliungua tukiwa ndani ya gari hatari mpaka ikaanza toa mosho ndo watu wakaanza kupiga kelele mpaka kushuka moshi umejaa
Japan semu gani huko? Njoo fikoloyashkKuna sehemu tunakosea namna ya utunzaji wa haya magari mbona huko Japan hayaungui ?
Nafikiri haya magari yalikuwa na shida katika uundwaji wake na if am not mistaken Nissan waliagiza hizi gari zirudishwe kiwandani siikumbuki ni model ya mwaka gan. YouTube ipo hiyo articleKwa nchi za wenzetu tukio.kama hilo.likijirudia huwa wanafanya uchunguzi na wakigundua hililafu mahari yanrudishwa yalikotoka Ila huku tbs na vyomvo vingine vimekalia tozo
Sasa gari inaungua moto halafu na yeye abebe moto tena mzee, unajaribu kumshauri nini tena ndugu yetu hapo? [emoji848]Beba fire kbsa
Kashindwa malizia lile neno la mwisho si unajua lilivyo gumu kuandika (eksitingisha)Sasa gari inaungua moto halafu na yeye abebe moto tena mzee, unajaribu kumshauri nini tena ndugu yetu hapo? [emoji848]
Mikumi njia ya kwenda mbagala kama 2yrs ago wakati zinatoka tuWapi huko??
Kama unatokea Mbande??Mikumi njia ya kwenda mbagala kama 2yrs ago wakati zinatoka tu
apo kuna news za recall ila dualis haipoNafikiri haya magari yalikuwa na shida katika uundwaji wake na if am not mistaken Nissan waliagiza hizi gari zirudishwe kiwandani siikumbuki ni model ya mwaka gan. YouTube ipo hiyo article
Loh! Unaweza kuweka hapa na manual ya Toyota Succeed?Tatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae.
Gari Service sio Kubadilisha OIL na Filter tu[emoji1787][emoji1787][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427]
Nissan Dualis Electronic Service Manual
Mara ya mwisho kucheck Airbags za gari yako kama zipo Ok na zitafunguka gari ikipata ajali ni lini[emoji23]
https://cardiagn.com/cruise-control-system-qashqai-07-10/
- General Information
- Engine Mechanical
- Engine Lubrication System
- Engine Cooling System
- Engine Control System
- Fuel System
- Exhaust System
- Accelerator Control System
- Starting System
- Clutch
- Transaxle & Transmission
- Driveline
- Front Axle
- Rear Axle
- Front Suspension
- Rear Suspension
- Road Wheels & Tires
- Brake System
- Parking Brake System
- Brake Control System
- Steering System
- Steering Control System
- Seat Belt
- Seat Belt Control System
- SRS Airbag
- SRS Airbag Control System
- Ventilation System
- Heater & Air Conditioning System
- Heater & Air Conditioning Control System
- Interior
- Instrument Panel
- Seat
- Door & Lock
- Security Control System
- Glass & Window System
- Power Window Control System
- Roof
- Exterior
- Mirrors
- Exterior Lighting System
- Interior Lighting System
- Wiper & Washer
- Defogger
- Horn
- Power Outlet
- Body Control System
- LAN System
- Power Control System
- Charging System
- Power Supply, Ground & Circuit Elements
- Meter, Warning Lamp & Indicators
- Warning Chime System
- Sonar System
- Audio, Visual & Navigation System
- Cruise Control System
- Maintenance
Una uhakika kuwa huko hayaungui? Yakiungua huko yalikotoka watakutangazia na wewe huku ujue?Swali simpo tuuu mbona case za gari kuungua likiwa huko lilipokua hazipo ....tatizo ni mafundi wetuu wa hapa tena wa veta ...na inaonekana gari inahitaji installation ya umakini apart from gari zingine ....kwa iyo ndio ivyoo
Ya mwaka gani? Engine Model??Loh! Unaweza kuweka hapa na manual ya Toyota Succeed?
Engine: 1NZFEYa mwaka gani? Engine Model??
ChamaziKama unatokea Mbande??
MasTatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae.
Gari Service sio Kubadilisha OIL na Filter tu🤣🤣👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Nissan Dualis Electronic Service Manual
Mara ya mwisho kucheck Airbags za gari yako kama zipo Ok na zitafunguka gari ikipata ajali ni lini😂
https://cardiagn.com/cruise-control-system-qashqai-07-10/
- General Information
- Engine Mechanical
- Engine Lubrication System
- Engine Cooling System
- Engine Control System
- Fuel System
- Exhaust System
- Accelerator Control System
- Starting System
- Clutch
- Transaxle & Transmission
- Driveline
- Front Axle
- Rear Axle
- Front Suspension
- Rear Suspension
- Road Wheels & Tires
- Brake System
- Parking Brake System
- Brake Control System
- Steering System
- Steering Control System
- Seat Belt
- Seat Belt Control System
- SRS Airbag
- SRS Airbag Control System
- Ventilation System
- Heater & Air Conditioning System
- Heater & Air Conditioning Control System
- Interior
- Instrument Panel
- Seat
- Door & Lock
- Security Control System
- Glass & Window System
- Power Window Control System
- Roof
- Exterior
- Mirrors
- Exterior Lighting System
- Interior Lighting System
- Wiper & Washer
- Defogger
- Horn
- Power Outlet
- Body Control System
- LAN System
- Power Control System
- Charging System
- Power Supply, Ground & Circuit Elements
- Meter, Warning Lamp & Indicators
- Warning Chime System
- Sonar System
- Audio, Visual & Navigation System
- Cruise Control System
- Maintenance
Watu hawataki kusema ukweli hizi gari walikosea kwenye ubora wa waya zake, zinaoza na kupigisha shot, kuna aina ngapi ya magari duniani ? Why duals ndio unaongoza kwa kuwaka moto? Usikubali kununua hii gari bora utafute nyingine au ACHA ! Waya zake zinaiza ukitaka kuinunua ufumue mfumo mzima wa umeme uweke waya za maana.
Id nyingine fakeUongo!