Hizi habari za Dualis kuungua moto zina ukweli wowote?

Dualis balaa ilikuwa kila.mwezi lazima nione video hiyo gari ikiwakaaa angalau siku hizi wabongo labda wamejua namna ya kuzitumia ila ni Hatarii.. Zinawakaa balaaa
 
Kwa nchi za wenzetu tukio.kama hilo.likijirudia huwa wanafanya uchunguzi na wakigundua hililafu mahari yanrudishwa yalikotoka Ila huku tbs na vyomvo vingine vimekalia tozo
Nafikiri haya magari yalikuwa na shida katika uundwaji wake na if am not mistaken Nissan waliagiza hizi gari zirudishwe kiwandani siikumbuki ni model ya mwaka gan. YouTube ipo hiyo article
 
Sasa gari inaungua moto halafu na yeye abebe moto tena mzee, unajaribu kumshauri nini tena ndugu yetu hapo? [emoji848]
Kashindwa malizia lile neno la mwisho si unajua lilivyo gumu kuandika (eksitingisha)
 
Nafikiri haya magari yalikuwa na shida katika uundwaji wake na if am not mistaken Nissan waliagiza hizi gari zirudishwe kiwandani siikumbuki ni model ya mwaka gan. YouTube ipo hiyo article
apo kuna news za recall ila dualis haipo
 
Loh! Unaweza kuweka hapa na manual ya Toyota Succeed?
 
Swali simpo tuuu mbona case za gari kuungua likiwa huko lilipokua hazipo ....tatizo ni mafundi wetuu wa hapa tena wa veta ...na inaonekana gari inahitaji installation ya umakini apart from gari zingine ....kwa iyo ndio ivyoo
Una uhakika kuwa huko hayaungui? Yakiungua huko yalikotoka watakutangazia na wewe huku ujue?

Mbona kuna toleo fulani la simu za Samsung zilikuwa zinachemka na kulipuka hata haijaenda kwa fundi?
 
Mas
 
Watu hawataki kusema ukweli hizi gari walikosea kwenye ubora wa waya zake, zinaoza na kupigisha shot, kuna aina ngapi ya magari duniani ? Why duals ndio unaongoza kwa kuwaka moto? Usikubali kununua hii gari bora utafute nyingine au ACHA ! Waya zake zinaiza ukitaka kuinunua ufumue mfumo mzima wa umeme uweke waya za maana.
 
Nimeishuhudia 1 ikiungua peramiho - Songea. Ni hatari sana.
 

Uongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…