Tetesi: Hizi habari zinazoenea kuhusu moshi kufuka juu ya mlima Kilimanjaro ni kweli?

Tetesi: Hizi habari zinazoenea kuhusu moshi kufuka juu ya mlima Kilimanjaro ni kweli?

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,009
Reaction score
2,315
Za jioni wadau, kuna habari nimeipata kutoka kwa mdau alieko nchini Kenya ikitahadharisha kuhusu uwezekano wa mlipuko wa volcano katika mlima Kilimanjaro na inadai moshi unaonekana kutoka kwenye crater ya mlima, naomba wakazi wa hapo moshi, marangu, rombo, machame na wengine mtujuze ni kweli?

Habari yenyewe hii hapa

BREAKING NEWS: The crater on top of Mt Kilimanjaro started smoking yesterday and is about to erupt any time now. The smoke can be sighted from as far as Voi and Moshi. The earth crack spotted in Mai Mahiu Kenya is aligned with the mountain and the fissure is expected to widen all the way to the Mountain. Upon eruption, hot earth and molten rocks shall shoot miles in the air then rain down on surrounding areas. The crack will be at least ten miles wide and will swallow land, farms, animals and anybody in the area. Urgently alert your friends and family who live around Arusha, Moshi, Namanga and all the way to Mai Mahiu. URGENT.
 
Ile ngoma ikilipuka si mchezo. watu wa huko watakunywa uji wa volcano
 
Pole Sana mkuu imekubamba [emoji23][emoji23] it's a prank bro [HASHTAG]#aprilfools[/HASHTAG]
 
Hii Kitu imezidishwa uongo yaani wakazi wa arusha na Namanga wawe tahadhari? wajua wapo mbali sana na ho Mlima... Nadhani hii ni News ya Tarehe 1 April for foolish
 
Tahadhari..

dereva endesha kwa uangalifu...barabara INA 'diversion' ya maili 2.6 upande wa kushoto na maili 4 upande wa kulia na kiwango cha 'ajali' ni 18%...hasa wakati wa 'masika'
 
Back
Top Bottom