Tetesi: Hizi habari zinazoenea kuhusu moshi kufuka juu ya mlima Kilimanjaro ni kweli?

Nimetoka huko hali ni mbaya sana .. Moshi umesambaa ... Usalama upo mashakan watu wanakimbia hovyo hovyo ... Hali ni mbaya .. Wanapikia kuni mbichi ... Moshi ni mkali sana inasikitisha kwa kweli !!!
 
Inawezekana ilikuwa taarifa ya aprili moja (fools day)
Hii siku sitaki hata kuisikia na rafiki zangu wote wanajua haya matani ya ajabu ajabu siyataki,mtu anaweza kukuharibia mipango yako ya kazi eti akijua ndiyo amekutania sana.mkuu kama ulivyo-guess hapo inawezekana huyu mdau nae kajazwa upepo na mjinga mjinga mmoja asiyejua thamani ya muda.
 
Nimetoka huko hali ni mbaya sana .. Moshi umesambaa ... Usalama upo mashakan watu wanakimbia hovyo hovyo ... Hali ni mbaya .. Wanapikia kuni mbichi ... Moshi ni mkali sana inasikitisha kwa kweli !!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanadai serikali imewasahau, miundombinu ni mibovu magari ya Orxy hayafiki [emoji23][emoji23]
 
Hii siku sitaki hata kuisikia na rafiki zangu wote wanajua haya matani ya ajabu ajabu siyataki,mtu anaweza kukuharibia mipango yako ya kazi eti akijua ndiyo amekutania sana.mkuu kama ulivyo-guess hapo inawezekana huyu mdau nae kajazwa upepo na mjinga mjinga mmoja asiyejua thamani ya muda.
Kweli kabisa mkuu maana mimi wala sina wazo la April fools nimechukulia serious na kesho nina safari kuelekea Arusha ningeweza kuogopa niahirishe daah
 
Mm kila saa naungalia nikiwa ofisini... Naona mvuke wa baridi na barafu iliyosambaa hadi chini kabisa
 
HIYO KITU OMBA MUNGU AIEPUSHE.KWA SASA HAKUNA DALILI LAKINI TUKUMBUKE MLIMA K'NJARO NI VOLKANO ILIYO USINGIZINI........IKIAMKA NI MAJONZI !!!!
 
Back
Top Bottom