Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hii siku sitaki hata kuisikia na rafiki zangu wote wanajua haya matani ya ajabu ajabu siyataki,mtu anaweza kukuharibia mipango yako ya kazi eti akijua ndiyo amekutania sana.mkuu kama ulivyo-guess hapo inawezekana huyu mdau nae kajazwa upepo na mjinga mjinga mmoja asiyejua thamani ya muda.Inawezekana ilikuwa taarifa ya aprili moja (fools day)
Nimetoka huko hali ni mbaya sana .. Moshi umesambaa ... Usalama upo mashakan watu wanakimbia hovyo hovyo ... Hali ni mbaya .. Wanapikia kuni mbichi ... Moshi ni mkali sana inasikitisha kwa kweli !!!
Kweli kabisa mkuu maana mimi wala sina wazo la April fools nimechukulia serious na kesho nina safari kuelekea Arusha ningeweza kuogopa niahirishe daahHii siku sitaki hata kuisikia na rafiki zangu wote wanajua haya matani ya ajabu ajabu siyataki,mtu anaweza kukuharibia mipango yako ya kazi eti akijua ndiyo amekutania sana.mkuu kama ulivyo-guess hapo inawezekana huyu mdau nae kajazwa upepo na mjinga mjinga mmoja asiyejua thamani ya muda.