Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Ahahahaaah!!Halafu ukiwa safari usiombe ukae nao siti moja kwenye basi, wanakuwa na vimzigo vingi vingiiii yaani hata pa kuweka miguu inakuwa shida, shopping njia nzima!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaaah!!Halafu ukiwa safari usiombe ukae nao siti moja kwenye basi, wanakuwa na vimzigo vingi vingiiii yaani hata pa kuweka miguu inakuwa shida, shopping njia nzima!
Kweli kabisa!hehehehhehehhhe lika aliocoment hii thread kanifurahisha wallah hee??kuna huyo chapa naro asema eti sie huwa twafanya shopping njia nzima ehhehhehhehh lol...
Umesahau sindano uzi, viatu.
Sisi ndio tunajua umuhimu wake.
Lol!
Begi likiwa kubwa tunabeba na maandazi/mihogo ya kunywea chai ofisini. Lol!
Jamani hvi vi2 vyote vya nini?wakati umetoka home tayari ushajipodoa?
kwa upande wangu ni:
Kioo-Kujitazama je niko vizuri au kuna kasoro fulani.
Poda-kujipaka kupunguza jasho
Wanja-wa kujiremba
Lips shine-lips zivutie kwa mng'aro
Lips stik-situmii
Handchef-kufuta jasho na vumbi vumbi
Lotion-nikipauka
Ch**i-sina tabia ya kubeba
Kanga- ya nini natumia hm
Wembe-sihitaji mpaka nikiwa home
Pedi-nabeba nikiwa siku nzito
Kitana-kuchana nywele, zinaweza kutibuka, ukiwa njiani kuwahi ofisini.
uzi na sindano-bahati mbaya nguo ichanike au kifungo cha shati la bosi kitoke nakirudishia
Perfume-Kunukia muhimu
Deodorant-mara moja moja. Hii sio ya kuizoea ina madhara
Sticks-wengine tunapenda kutafuna nyama
Mwanamke asili yake ni urembo wewe ulitaka abebe ..nyundo na shockabsober kwenye handbag?
walitaka tubebe spana na kok za bomba?
Hii ni hatari kubwa
Halafu ukiwa safari usiombe ukae nao siti moja kwenye basi, wanakuwa na vimzigo vingi vingiiii yaani hata pa kuweka miguu inakuwa shida, shopping njia nzima!
Wengine wanachukua hadi chupi 3 kwa sikuhahahahah lol
huyo anabahati sana lol
hhahaha lol angepata zilizotumika
angeacha kuiba vya watu lol
nwya my dear nite nite..:mwaaah::mwaaah::A S 11::A S 11:
Kaka samahani naomba unipakatie huu mzigo wangu
Mngependelea tubebe nini, tuache nini?
Hahahaaaaaaaa lol
Yaani Mamito hawana jema hawa...kuna kipindi mie nlikutwa na ile set ya kisu cha kukunja, chenye nail cutter, mkasi na opena ya wine....nikaitwa mwuuaji....................haya sijuitubebe mapanga tuache poda.
Yaani Mamito hawana jema hawa...kuna kipindi mie nlikutwa na ile set ya kisu cha kukunja, chenye nail cutter, mkasi na opena ya wine....nikaitwa mwuuaji....................haya sijui