Hizi Handbag za kinadada hizi mmmh?

hehehehhehehhhe lika aliocoment hii thread kanifurahisha wallah hee??kuna huyo chapa naro asema eti sie huwa twafanya shopping njia nzima ehhehhehhehh lol...
 
Umesahau sindano uzi, viatu.
Sisi ndio tunajua umuhimu wake.
Lol!
Begi likiwa kubwa tunabeba na maandazi/mihogo ya kunywea chai ofisini. Lol!

Hii haina ubishi kabisa,
 
 
Msisahau kuangalia huyo mama mwenye bag kuubwa muone kama ni mjamzito au lah!

Wakina mama wajawazito hulazimishwa kutembea na mabegi yenye kila kitu .... gloves, bunda la pamba, nguo za mtoto, pair kadhaa za khanga, pads, etc.... jamani kuzaa Tanzania usiombe! Bora ughaibuni maana angalau kuna ustaarabu na kuheshimu uzazi.
 
...nimekaa kwenye kigoda mie nawaangaliaaa bin kuwazngatia....ahh sjabeba mkoba wangu leo..!!!!!!
 
Mwanamke asili yake ni urembo wewe ulitaka abebe ..nyundo na shockabsober kwenye handbag?
 
wanawake kazi yao kupendeza....si tunajua hivyo, na wao wanajua hivyo.....hakuna zaidi ya hapo.....saa nyingine wanajisahau wanadhani wako sawa na wanaume, ila baada ya muda wanakumbuka ukweli, halafu wanaenda kupaka lipstick.
 
Halafu ukiwa safari usiombe ukae nao siti moja kwenye basi, wanakuwa na vimzigo vingi vingiiii yaani hata pa kuweka miguu inakuwa shida, shopping njia nzima!

Hii comment imenichekesha mpaka nimelia aisee
 
hahahahah lol
huyo anabahati sana lol
hhahaha lol angepata zilizotumika
angeacha kuiba vya watu lol

nwya my dear nite nite..:mwaaah::mwaaah::A S 11::A S 11:
Wengine wanachukua hadi chupi 3 kwa siku
 
tubebe mapanga tuache poda.
Yaani Mamito hawana jema hawa...kuna kipindi mie nlikutwa na ile set ya kisu cha kukunja, chenye nail cutter, mkasi na opena ya wine....nikaitwa mwuuaji....................haya sijui
 
Yaani Mamito hawana jema hawa...kuna kipindi mie nlikutwa na ile set ya kisu cha kukunja, chenye nail cutter, mkasi na opena ya wine....nikaitwa mwuuaji....................haya sijui

ahh apo sasa!!!!
icho kisu niletee bas nakitaka mie...mie kwenye poch yangu UPUPU HAUKOSEKAN!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…