Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

Kama hujatoa chochote jina lako haliwezi kuwemo.
Nimesoma taarifa ya Bashungwa akielezea namna walivyochakata, haijaniingia akilini kabisa.

Anasema wamezingatia ikiwemo mwaka wa kuhitimu halafu unakuta aliyehitimu 2019 anachukuliwa anaachwa aliyehitimu 2018
 
Haya vijana mmelia weee badae hamchelewi kusema mmepangiwa porini ambako hata network haisomi
 
Art kapangiwa hesabu
IMG-20220626-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom