KweliHawezi kumfikia Kindoki wa Utopolo kwa ubovu..
PakachaKipa katika mechi 21 karuhusu goli 35
Anakuja cheza na beki ambaye kwenye mechi 6 karuhusu goli 16
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubingwa kutoka daraja la 5 kwenda la 4...safi SANA...bonge la kipaMbona amsemi kua kawahi kuchukua ubingwa?
View attachment 2697258
Tuletee na rekodi za mayele uko alikokuwa kabla ajaja yanga ili tulinganisheHata Mayele alikuwapo kwa mkopo wa timu mbili zilizokopeshana, lakini alicheza vizuri tu
Milioni 300 kwa mzungu na milioni 100 kwa kakolanyaNi vizuri ungetaja kwa namba kabisa, gharama za huyu na gharama za Kakolanya
Acha tuoneKipa huyu mwenye umri wa miaka 29, jina lake ni Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior ana urefu wa mita 1.9 na kabla ya kujiunga na Simba alikuwa akiitumikia Resende FC ambayo inashiriki Ligi Daraja la nne, Brazil.
Hata hivyo, tangu aliposajiliwa na Resende mwaka 2017 muda mwingi alikuwa akitolewa kwa mkopo kwenda timu mbalimbali hadi kufikia hatua ya kutua Simba.
Luis ametolewa kwa mkopo kwenye jumla ya timu tano tofauti ambazo alikuwa kwa nusu msimu ama msimu mmoja pekee.
Timu hizo tano ambazo fundi huyu alipelekwa kucheza kwa mkopo ni pamoja na Athletic, Itabaiana, Volta Redonda, SC Aymores na Itabirito FC-MG.
Kwa msimu uliopita akiwa na Resende, kipa huyu amecheza mechi 21 za michuano yote akaruhusu mabao 35 na akamaliza mechi tatu bila ya nyavu zake kutikisika.
Je ataweza kuondoa utawala wa Diara??
View attachment 2697200
Mimi ni mpenzi wa Simba, lakini nahisi kwa kipa huyu tumepigwa na kitu kizito kichwani!! Mchezaji mzuri wa Brazil hawezi kuja kucheza mpira bongo!!Mimi ni Mpenzi WA Simba.
MADA yako ni nzuri ila Jitahidi kuandika bila USHABIKI na unazi
Na ujifunze KUWA na uwasilishaji mzuri WA MADA..
Kuna Makosa mengi mno kwenye USAJILI WA Simba.
1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN
Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.
PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.
2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.
Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
Hatutaki kipa wa kubebwa!Huyu kipa atabebwa na back line na Midfield so hatapata shida sana