Hizi hapa CV za kipa la kibrazil lililotua pale msimbazi kwa kishindo kikubwa

Hizi hapa CV za kipa la kibrazil lililotua pale msimbazi kwa kishindo kikubwa

Kipa katika mechi 21 karuhusu goli 35
Anakuja cheza na beki ambaye kwenye mechi 6 karuhusu goli 16
😂😂😂😂😂
 
Asanteni Simba kwa kipa mbovu…!! Tunamsubir kwa hamu…!! Naona mlipoona ni BRAZIL, basi mkajua kila mtu wa Brazil ni mwanasoka mzur…!!! Tunamsubir kwa hamu…!!!
 
Hawezi kumfikia Kindoki wa Utopolo kwa ubovu..
Kweli
FB_IMG_16901392718196831.jpg
 
Kipa huyu mwenye umri wa miaka 29, jina lake ni Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior ana urefu wa mita 1.9 na kabla ya kujiunga na Simba alikuwa akiitumikia Resende FC ambayo inashiriki Ligi Daraja la nne, Brazil.

Hata hivyo, tangu aliposajiliwa na Resende mwaka 2017 muda mwingi alikuwa akitolewa kwa mkopo kwenda timu mbalimbali hadi kufikia hatua ya kutua Simba.

Luis ametolewa kwa mkopo kwenye jumla ya timu tano tofauti ambazo alikuwa kwa nusu msimu ama msimu mmoja pekee.
Timu hizo tano ambazo fundi huyu alipelekwa kucheza kwa mkopo ni pamoja na Athletic, Itabaiana, Volta Redonda, SC Aymores na Itabirito FC-MG.

Kwa msimu uliopita akiwa na Resende, kipa huyu amecheza mechi 21 za michuano yote akaruhusu mabao 35 na akamaliza mechi tatu bila ya nyavu zake kutikisika.

Je ataweza kuondoa utawala wa Diara??
View attachment 2697200
Acha tuone
 
Huyu kipa atabebwa na back line na Midfield so hatapata shida sana
 
Kipa Oliveira na kocha ni Oliveira, kama mnashindwa kuelewa kitu hapo poleni.
 
Mimi ni
Mimi ni Mpenzi WA Simba.

MADA yako ni nzuri ila Jitahidi kuandika bila USHABIKI na unazi
Na ujifunze KUWA na uwasilishaji mzuri WA MADA..

Kuna Makosa mengi mno kwenye USAJILI WA Simba.

1. Binafsi sijawahi kuwa na Imani na wachezaji wa Nje ya Africa wanaokuja kucheza AFRIKA.
Mfano.
.Thairone Santos.
.Silver.
.Flaga.
DEJAN

Sijajua kwanini Simba WANAFANYA Hivi, INAWEZEKANA wanaiga VILABU VIKUBWA AFRIKA kama MAMelody.

PUNGUZENI WINGA Mmuongeze Bangala kama kiungo na Beki.

2. MANURA ATARUDI si Muda Mrefu.
Gharama walizoingia kwa huyo KIPA mala mia wangembakisha kakolanya.

Otherwise mashindano ni mengi kiungo na Beki hazitoshi.
Mimi ni mpenzi wa Simba, lakini nahisi kwa kipa huyu tumepigwa na kitu kizito kichwani!! Mchezaji mzuri wa Brazil hawezi kuja kucheza mpira bongo!!
 
Back
Top Bottom