MOSI Makampuni mengi ya kusafisha madini yalikuwa nchi jirani na yameajiri watu wengi. Mfano wa makampuni hayo ni makampuni ya kukata Tanzanite waliyokuwa wanaitegemea kutoka Tanzania.
Hivi sasa Tanzania imedhibiti utorashaji wa madini ya Tanzanite, hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza kuyaongezea thamani hapa Tanzania nchi jirani lazima wataathirika.
2. Sababu nyingine inazoifanya Tanzania Itambe na kutembea kifua mbela sasa dhidi ya majirani zake ni kwamba Kwenye kilimo bidhaa nyingi za kilimo zinazolisha viwanda vya nchi jirani zinazalishwa Tanzania. Mazao hayo ni vituungu, kahawa, machungwa, mananasi, maembe, Mahidni, Ndizi, Maparachichi na Mauwa.
Nchi jirani wamewekeza sana kwenye makampuni ya kuchakata na kusafirisha mazao ya kilimo kwenda Asia, Ulaya, na America. lakini sasa viwanda vyao na makampuni ya kusafirisha bidhaa hayawezi kufanya kazi bila wao kuja Tanzania kununua malighafi mbali mbali kwa wakulima wetu.
Kwenye bajeti ya mwaka huu serikali ya Tanzania imepiga marufuku wanunuzi wa kati wa mazao ya kilimo kwenda kununua moja kwa moja kwa mkulima sharti lazima awe na ubia na raia wa Tanzania kwa Kuzaliwa.
3. Tanzania itandelea kutamba na kutembea kifua mbela sasa dhidi ya majirani zake Kwenye utalii kwasababu nchi jirani walikuwa wanafaidika sana na utalii wa Tanzania.
Nchi jirani Wanatumia pesa nyingi kufanya matangazo ya utalii Ulaya, Asia, na Marekani kwa vivutio kama vile Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Mikumi, Katavi, Mwalimu Nyerere National park, Ngorongoro na Oldvai geuge kwamba watalii wanaweza kuviona hata wakiwa huko jirani. Lakini sasa baada ya Tanzania kuboresha viwanja vya ndege kila kona na kumiliki rada sasa watalii wanaona hakuna haja ya kwenda nchi jirani. Kwa hiyo nchi hiyo imepta pigo kwa kukosa watalii.
4. Kwa sasa Tanzania inavyo viwanja vya ndege vya kimataifa na vina uwezo wa kupokea na kuhudumia ndege kubwa kwa ufanisi wa kimataifa, hivyo kwa kipindi hichi hakuna umuhimu wala ulazima wa watalii / abiria wa Tanzania kushukia katika nchi jirani.
5. Barabara za kuunganisha Tanzania na nchi za jirani zipo vizuri na mahusiano baina ya nchi ya Tanzania na majirani wengine yapo vizuri sana hivyo katika suala zima la kuingiza nidhaa na kutoa nje ya nchi Tanzania inajitegea kwa kiwango cha juu.
6. Nchi jirani kwenye swala usalama wa chakuka kwa kuangalia mazao kama vile mchele, mahindi, ndizi, na Viazi nchi jirani haina ardhi kubwa yenye rutuba kwa ajili ya uzalishaji huo, eneo kubwa ni udongo wa miamba. Hivyo wanahitaji kiasi kikubwa cha mazao ya chakula kutoka kutoka Tanzania.
7. Nchi jirani wamekuwa wajanjawajanja kwenye kusafirisha minofu ya samaki wa Ziwa Victoria kupitia kwao, kitendo cha Serikali ya Tanzania kuweka miundo mbinu jijini Mwanza kinaua usafirishaji wa Minofu ya Samaki kupitia nchi jirani kwa sababu uzalishaji mkubwa ya minofu upo upande wa Tanzania.
8. Kwenye sekta ya Usafirishaji wa bidha kupiotia bandari ya hindi Tanzania imepanua bandari zake kuanzia Bandari ya Tanga, bandari ya Dar es salaam na Bandari ya Mtwara ambazo zimeleta ushindani mkubwa kwa bandari ya nchi jirani ambayo ilikuwa inategemewa na nchi za ukanda wa maziwa makuu; Nchi hizo zimesitisha kuitumia badari hiyo kutokana na kupanda maradufu kwa gharama za kusafirisha bidhaa ili kupata pesa za kulipa deni la mkopo wa ujenzi wa SGR feki ya dizeli kutoka China.
Vilevile Tanzania imeboresha reli ya kati ambayo kiuchumi ni rahisi kwa Uganda kusafirisha bidhaa kupitia reli mpaka Mwanza na kisha kupakia kwenye meli mpaka kwenye bandari za Jinja, Entebbe na Kampala pia hata Sudan ya kusini kupitia hii route inakuwa nafuu kwao kuliko kupitia Mombasa.
9. Pia kwenye usafirishaji wa Anga nchi jirani wameanza kuingiwa na hofu juu ya shirika la ndege la Tanzania kwasababu Tanzania ikishika masoko itapunguza faida za ndege za jirani ndio maana walihusika kikamilifu kuiua kabisa ATC na walipoona kuna Precision Air inaibuka wakakimbilia kununua share.
10. Nchi jirani inatakiwa watambue kuwa Tanzania ya leo inamiliki rada za kisasa kabisa zenye uwezo wa kuongoza ndege aina yeyote Duniani yenye ukubwa wowote kutua katika viwanja vya viwango vya kimataifa vilivyojengwa Tanzania na hakuna haja tena ndege hizo kutumia rada za nchi jirani wala kutua katika nchi hiyo.
11. Tanzania sasa inajenga Bwawa kubwa kabisa la kuzalisha umeme wa mega wati 2115 amalo litawavutia wawekezaji wengi kuja Tanzania kujenga viwanda kama mbadala wa kwenda kuwekeza katika nchi za jirani.
Mtanzania tembea kifua Mbele TUNAWEZA.