Masaa ndio hayo kabla wazee wa ngindo hamjanyonya, kabla wazee wa moshi hamjapuliza, kabla wazee wa chupi hamjazitoa kwenye viwiliwili vya wahusika katika kusherehekea ujio wa mzee 2018 tutumiane salamu za heri na fanaka kwa mwaka mpya ujao.
Mi naanza na mashabiki wote wa Chelsea na wapenda soka kwa ujumla humu ndani, wale wazee wa imani Kali (Rastafari) wote humu ndani, na wale vijana wa kukaza (si unajua cha mtu kinyesi)
Kwa upande wa mtu mmoja mmoja, nianze na
emmyta Kunguru Mjanja Daby Mwana pepsin Pdidy General Galadudu Invisible na wewe mwenyewe unaepita hapa.. Afu tatizo wengine mmebadili na ID.
Ooho, na kwenu warembo wote, maua ya dunia, namaanisha watoto wote wakali..
2018 ije na mafanikio na uwe na nguvu za kutimiza malengo yako.