Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kama Unatumia Samsung Galaxy A Series? Basi usikimbilie kubadilisha simu yako! ๐
Kuna baadhi ya simu za Samsung Galaxy ambazo zitaendelea kupata Security Updates na Android support hadi kufikia mwaka 2029, zikisaidia kulinda simu dhidi ya vitisho vya kiusalama hata baada ya masasisho makuu ya Android kuisha. ๐
๐ Simu zilizotajwa ni:
๐ฑ Galaxy A55 5G android update 18 mwisho ila security update mpaka mwaka 2029.
๐ฑ Galaxy A35 5G Hii inapokea Android 18 itakua mwisho ila security update mpaka 2029.
๐ฑ Galaxy A15 itapokea Android 18 na security update mpaka mwaka 2029.
๐ฑ Galaxy A06 5G Hii itapokea Android 18 na Android 19 huku security update mpaka mwaka 2029.
๐ฑ Galaxy XCover Hii itapokea android update mpaka mwaka 2028 na security update mwisho 2029.
โ ๏ธ Kumbuka: Security Updates na Android Version Updates ni vitu viwili tofauti. Simu inaweza kuacha kupokea Android mpya lakini ikaendelea kupata masasisho ya usalama.
Ebu tuambie Unatumia Samsung Galaxy aina gani, na unatarajia kuendelea kuitumia hadi mwaka gani? ๐ค๐