Hizi hapa Taarifa za Uongo Tatu anazotuhumiwa kuzisema Lissu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Fikiria DPP ,anakaa anashauriana na Polisi ,wanaamua kumkamata MH LISSU na kumpa Kesi za kusema Uongo.

Uongo wenyewe Sasa

1-Mh LISSU kusema Wagombea wa Upinzani walienguliwa Kwa maelekezo ya Rais.

2-Mh LISSU kusema Polisi nchini wanatumika Kuiba Kura.

3-MH LISSU kusema Majaji wa Nchi hii ni CCM na hawawezi kutenda hakikwkaua wanapenda kuteuliwa .

Duuh kwamba Ofisi ya DPP kabisa kabisa ndio imehamia kwenda kuidhalilisha CCM namna hii?.

Sibora mngekaa kimya tu ,hata lile kundi liliokua linadhan TUNDU LISSU anaongea tu kama mashambulizi ya Siasa liendelee kumwamini Rais Samia?.

Yan kabisa kabisa Ofisi ya DPP imeamua kuipa CHADEMA uwanja wa kuthibitisha Kwa Ushahidi kabisa Maneno ya MH LISSU ?

Mbona hii Kesi hata humu JamiiForums tunaweza kuimaliza Mapema kabisa
 
Nimesikiliza kama timu inamgeuka kipawake na kuanza kumvurumishia Mawe golini....
 
Fikiria DPP ,anakaa anashauriana na Polisi ,wanaamua kumkamata MH LISSU na kumpa Kesi za kusema Uongo.

Uongo wenyewe Sasa

1-Mh LISSU kusema Wagombea wa Upinzani walienguliwa Kwa maelekezo ya Rais.

2-Mh LISSU kusema Polisi nchini wanatumika Kuiba Kura.

3-MH LISSU kusema Majaji wa Nchi hii ni CCM na hawawezi kutenda hakikwkaua wanapenda kuteuliwa .

Duuh kwamba Ofisi ya DPP kabisa kabisa ndio imehamia kwenda kuidhalilisha CCM namna hii?.

Sibora mngekaa kimya tu ,hata lile kundi liliokua linadhan TUNDU LISSU anaongea tu kama mashambulizi ya Siasa liendelee kumwamini Rais Samia?.

Yan kabisa kabisa Ofisi ya DPP imeamua kuipa CHADEMA uwanja wa kuthibitisha Kwa Ushahidi kabisa Maneno ya MH LISSU ?

Mbona hii Kesi hata humu JamiiForums tunaweza kuimaliza Mapema kabisa
Jitokeze mahakamani uimalize siku ikisomwa
 
Wafuasi wa Lissu akili zenu hazina akili.
 
Hivi kweli kwa Mashtaka Hayo Lissu atashindwa kuyajibu..!!!! Mtu anayependa kujenga hoja!!! Za kisheria..

Mfano ametishia.. chaguzi hautafanyika... Kuna Mahali alifafanua ni uchaguzi gani??!!! TFF au CWT. Yaani wanazidi kumpa muda athibitishe kauli zake kwa umma...

Na kumfanya jamii imuonee huruma.. Cha Ajabu Mahakamani anacheka... Mimi naona kabisa alilijua hili na ana kusudi lake... Kupata Air time leo Vyombo vyote mpaka wiki yote hii atavuma yeye tuu...
 
Back
Top Bottom