Hizi helikopta zinatafuta nini rock city

Kuna helikopta zimepita jana na leo asubuhi kuna nini maana sio kawaida helikopta kupita anga la chini namna hii au kuna mtuwao wanamtafuta wampoteze 😁
Mwenyewe najiuliza afu zinapita njia ambayo hatujawhi kuona! Imeanza ndege then helicopters nyieee🙆🏽‍♀️
 
Wanatishia watu....wapuuzii hao wanachezea mafuta bureee
 
Wanaenda buchosa kwenye uganga wa kutumiana mamba, akinywa maji tu imo, na ujue CCM hawaachiani maji mezani. 026 tukae kwenye mstari, tujisawazishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…