makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Viongozi wetu ni wabinafsi sanaHawawezi kuchukua hatua yeyote maana madhara ya kutumia magari machakavu wao hayawahusu na pia yanasababisha ajali sana wao ikishatokea ajali wanasema mwendokasi na si chombo ni chakavu..