Hizi Hyundai sedans sana sana Sonata na Elantra mnazionaje?

Viongozi wetu ni wabinafsi sana
Wakati Rwanda Nchi ndogo tu imewaita Vw kiwanda kipo pale nilishangaa Zimbabwe tunaambiwa uchumi wao haueleweki wamewapa Toyota Japan eneo kubwa wajenge kiwanda cha Toyota hapo Tanzania hatuwezi kuita Makampuni makubwa ya magari kwa sababu hiyo kodi yenyewe wanapata kubwa kuliko hizo kampuni za magari..Gari ina kodi ya 120m hawajanunua hata bolt wanataka huo mzigo..
 
Muda unawaza unaona kweli nchi hii inahitaji reforms..
Tupo kwenye ulimwengu wa magari ya umeme, wao wanatak tununue vigari vya mafuta vya mwaka 2005 huko.

Viongozi wetu ni maza fanta kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…