Hizi Idara mbili zinautofauti gani?

Hizi Idara mbili zinautofauti gani?

Anderson Shimb

Senior Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
169
Reaction score
26
Kuna Idara ya Maendeleo ya Jamii na Idara ya Ustawi wa Jamii.
swali langu kwenu nyinyi wachambuzi nomba mnisaidie kutofautisha Idara hizi pamoja na sheria za kutumia wakati wa kutekeleza majukumu yao.
 
Back
Top Bottom