Mimi sio muisilam ila huwa napenda sana kufatilia mawaidha!
Iftari za siku hizi si kuftrisha tena watu wenye uhitaji kama mayatima, wajane, wazee wasio jiweza na watu wengine wasio na uwezo!
Nashangaa baadhi ya Wanasiasa wasio Waislam kufuturisha kana kwamba nao ni waumini waliofunga Ramadhan!
Kwa maoni yangu nchi yetu bado ina matatizo mengi kama mahitaji ya hospital, Watu wenye umaskini wa kutisha, Ni bora mambo haya ya Iftari kama Ibdaa yakaendana na matendo ya huruma kuliko kuita watu wasio stahili Iftari kama matajiri na wanasiasa wengi tena wenye upotofu mwingi!
Kwa mwenendo huu wa kila Mkuu wa Taasisi au Mkoa kufanya Iftari ni matumizi yasiyo na tija ya hela ya umma!
Kwa mujinbu wa CAG mwaka 2023/2024 huna hasara ya bilioni 371 kwa matumizi yasiyo na tija!