Yaani hakuna mda hela ya serkali inaliwa na kuchezewa tokea uhuru kama saizi!Hakika!
Aibu sanaYaani hakuna mda hela ya serkali inaliwa na kuchezewa tokea uhuru kama saizi!
Hovyo sana!
Vijana hawana ajira,nchi inazidi kuzama kwenye umaskini lakini majizi na mafisadi yanaalikana kwa ajili ya Iftari!
Mwemyezi Mungu atuhurumie sana!
Ukiambiwa neno na mwanaccm tafakari sanaSerikali si haina dini inakuaje tena inafuturisha ?πΌ
Kwa nini uite iftar na sio futari?Mimi sio mwiislam ila huwa napenda sana kufatilia mawaidha!
Iftari za siku hizi si kuftrisha tena watu wenye uhitaji kama mayatima,wajane,wazee wasio jiweza na watu wengine wasio na uwezo!
Nashangaa baadhi ya Wanasiasa wasio Waislam kufuturisha kana kwamba nao ni waumini walofunga Ramadhan!
Kwa maoni yangu nchi yetu bado ina matatizo mengi kama mahitaji ya hospital,Watu wenye umaskini wa kutisha, Ni bora mambo haya ya Iftari kama Ibdaa yakaendana na matendo ya huruma kuliko kuita watu wasio stahili Iftari kama matajiri na wanasiasa wengi tena wenye upotofu mwingi!
Kwa mwenendo huu wa kila Mkuu wa Taasisi au Mkoa kufanya Iftari ni matumizi yasiyo na tija ya hela ya umma!
Kwa mujinbu wa CAG mwaka 2023/2024 huna hasara ya bilioni 371 kwa matumizi yasiyo na tija!View attachment 3286226
Hizi ni za kuanza kutafuta kura mzee. Ukae kwa kutulia.Mimi sio muisilam ila huwa napenda sana kufatilia mawaidha!
Iftari za siku hizi si kuftrisha tena watu wenye uhitaji kama mayatima, wajane, wazee wasio jiweza na watu wengine wasio na uwezo!
Nashangaa baadhi ya Wanasiasa wasio Waislam kufuturisha kana kwamba nao ni waumini waliofunga Ramadhan!
Kwa maoni yangu nchi yetu bado ina matatizo mengi kama mahitaji ya hospital, Watu wenye umaskini wa kutisha, Ni bora mambo haya ya Iftari kama Ibdaa yakaendana na matendo ya huruma kuliko kuita watu wasio stahili Iftari kama matajiri na wanasiasa wengi tena wenye upotofu mwingi!
Kwa mwenendo huu wa kila Mkuu wa Taasisi au Mkoa kufanya Iftari ni matumizi yasiyo na tija ya hela ya umma!
Kwa mujinbu wa CAG mwaka 2023/2024 huna hasara ya bilioni 371 kwa matumizi yasiyo na tija!View attachment 3286226
Eti Mkuu wa Mkoa anaitisha Iftari,Mkuu wa Mkoa Mkristo na hajui lolote juu ya fungal ya Kiislam na masharti yake!Aibu sana
Mimi sijui sana hayo mambo Iftari nadhani ni tukio na futari ni chakula kinacholiwa wakati wa kufuturu!Kwa nini uite iftar na sio futari?
Tumeishaandika sana kuhusu futari ya haramuEti Mkuu wa Mkoa anaitisha Iftari,Mkuu wa Mkoa Mkristo na hajui lolote juu ya fungal ya Kiislam na masharti yake!
Wanatumia dini kulaghai wananchi!
Wananchi hasa wafia dini kwa kukosa maarifa wanajua ama hakika hawa ndo viongozi wanaofaa!
πππMimi sijui sana hayo mambo Iftari nadhani ni tukio na futari ni chakula kinacholiwa wakati wa kufuturu!
Au sio bwana bila shaka niko sawa Sheikh wangu!πππ