Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
 
Sijaziona hizo subwoofer lakini kuhusu kama ni original nina wasiwasi kutokana na bei . Kama inauzwa laki 2 na bado muuzaji anapata faida hapo pana alama ya kuuliza kwa sababu original bei yake ilipaswa iwe angalau laki 5.
Pili kuhusu kama zinawajibika vizuri nadhani masikio yako ndio yenye kauli ya mwisho kuhusu hilo. Tafuta fursa usikilize mwenyewe kisha utafanya conclusion.
 
Kama ni MADE IN CHINA.....🏃🏿
Labda tungejua ni model gani ingesaidia. Fanya utafiti na utest. Kuwa "made- in-China" hilo pekee halihitimishi juu ya ubora labda jbl wana tawi huko . Lakini kwa bei hiyo labda yawe matoleo ya zamani kidogo.
 
Kwenye maelezo kuna brand ya JBL alafu humohumo kuna neno subwoofer. Sina cha kusema zaidi ya kukueleza kwamba hayo maneno mawili yakiwa sentensi moja bei haiwezi kuwa 200,000.

Kuhusu ubora sijui, ila kuliko kununua kitu copy ya brand kubwa. Bora ninunue kitu cha brand inayojitafuta ila ni bidhaa original.
 
JBL hawawezi kufanya jambo hilo,hizo ni za kichina tu kama yale ma woofer yanayouzwa ktk maduka ya miziki ya magari yameandikwa JBL.

Kuhusu ubora bidhaa za kichina unazijua.
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Back
Top Bottom