United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ujinga ni kuamini wewe uko sahihi zaidi kwa kitu ambacho kinahitaji maoni na mitazamo tofauti.Kiukweli ktk mashabiki vichaa ni pamoja na wa utopolo yaan wao wana support tu regardless nzuri or mbaya wapo.loyal sanaaa
Ktk zile jezi zoteeee 3 za yanga ile nyeusi ndio kali the rest ni utopolo mtupu lkn bado wana wana support yaan iyo ni credit kubwa sanaa
Mbona kwa 45min anauza kwa 35k mtafute insta au twitterJana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo
Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo
Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
Duuuh hata za msimu uliopita mlisema zimejaaa "vibwengo"Kiukweli ktk mashabiki vichaa ni pamoja na wa utopolo yaan wao wana support tu regardless nzuri or mbaya wapo.loyal sanaaa
Ktk zile jezi zoteeee 3 za yanga ile nyeusi ndio kali the rest ni utopolo mtupu lkn bado wana wana support yaan iyo ni credit kubwa sanaa
Ngoja nimecheki manaa nishakula.pesa ya watu afu jez bei
Kwa hiyo designer wao ni mjinga ?Ujinga ni kuamini wewe uko sahihi zaidi kwa kitu ambacho kinahitaji maoni na mitazamo tofauti.
kumbe ni nakishi nakshi siyo? nilidhani ni makorokoroJezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni red iwe red tu au nyeupe iwe nyeupe pee,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
Ujinga wa designer uko wapi hapo??Kwa hiyo designer wao ni mjinga ?
+bil4.1 za sportpesa + bilion3 + za AZAMHalafu ndani ya hiyo elfu 60 wanapata 1300 kila jezi
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake juu ya jambo fulan ilimradi tu asivunje sheriaUjinga wa designer uko wapi hapo??
Yeye katoa kitu na anajua fika lazma wakosoaji wawepo, na ile yeye ni kazi yake lazima aisifie tuu.
Shida ni kwa shabiki asietaka kuelewa kua maoni yake ni (-), ila kwengine ni (+).
Jezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni Njano iwe njano tu au kijani iwe kijani ,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
Arsena ana nezi kali huwa hazina vibwengo wala makaburiJezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni Njano iwe njano tu au kijani iwe kijani ,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
Lazima ziishe. Uto huwa wanaproduce piece 2000 nchi nzima kisha wanadai zimeuzika sana. Baada ya mwezi wanaanza kuziuza 12,000/=Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo
Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
Makolo mengi hayana akili.Lazima ziishe. Uto huwa wanaproduce piece 2000 nchi nzima kisha wanadai zimeuzika sana. Baada ya mwezi wanaanza kuziuza 12,000/=
Katika team zenye jezi nzuri EPL na Ulaya Arsen haipoArsena ana nezi kali huwa hazina vibwengo wala makaburi
Kama unajua hilo kwanini sasa ugeneralize kua mashabiki wote ni wajinga??Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake juu ya jambo fulan ilimradi tu asivunje sheria