Hizi jezi za Yanga hadi kufikia siku ya Mwananchi zitauzwa 60 Tzs

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo

Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
 
Kiukweli ktk mashabiki vichaa ni pamoja na wa utopolo yaan wao wana support tu regardless nzuri or mbaya wapo.loyal sanaaa

Ktk zile jezi zoteeee 3 za yanga ile nyeusi ndio kali the rest ni utopolo mtupu lkn bado wana wana support yaan iyo ni credit kubwa sanaa
 
Ujinga ni kuamini wewe uko sahihi zaidi kwa kitu ambacho kinahitaji maoni na mitazamo tofauti.
 
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo

Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
Mbona kwa 45min anauza kwa 35k mtafute insta au twitter
 
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo

Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
C4F6C651-AA07-4A78-A349-C6E3A5EBCA88.jpeg
 
Kiukweli ktk mashabiki vichaa ni pamoja na wa utopolo yaan wao wana support tu regardless nzuri or mbaya wapo.loyal sanaaa

Ktk zile jezi zoteeee 3 za yanga ile nyeusi ndio kali the rest ni utopolo mtupu lkn bado wana wana support yaan iyo ni credit kubwa sanaa
Duuuh hata za msimu uliopita mlisema zimejaaa "vibwengo"
#Ni mbaya ukilinganisha na zipi????
 
Jezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni Njano iwe njano tu au kijani iwe kijani ,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
 
Jezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni red iwe red tu au nyeupe iwe nyeupe pee,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
kumbe ni nakishi nakshi siyo? nilidhani ni makorokoro
 
Ujinga wa designer uko wapi hapo??

Yeye katoa kitu na anajua fika lazma wakosoaji wawepo, na ile yeye ni kazi yake lazima aisifie tuu.

Shida ni kwa shabiki asietaka kuelewa kua maoni yake ni (-), ila kwengine ni (+).
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake juu ya jambo fulan ilimradi tu asivunje sheria
 
Jezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni Njano iwe njano tu au kijani iwe kijani ,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
Jezi ni nzuri sana,jezi zina ubunifu,nakshi za kupendeza,kuuzwa tsh elf 35 ni halali kabisa kuliko kuvaa jezi plain isio na ubunifu ambayo ina nembo ya mzamini pekee,au kama ni Njano iwe njano tu au kijani iwe kijani ,alafu uuziwe kwa bei hiyo hiyo
Arsena ana nezi kali huwa hazina vibwengo wala makaburi
 
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo

Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
Lazima ziishe. Uto huwa wanaproduce piece 2000 nchi nzima kisha wanadai zimeuzika sana. Baada ya mwezi wanaanza kuziuza 12,000/=
 
Back
Top Bottom