Kinachokuuma nn weweHalafu ndani ya hiyo elfu 60 wanapata 1300 kila jezi
Sawa, wewe mwenye kinyesi tufafanulie ni kwanini mmezindua jezi mpya halafu timu imecheza mechi wakiwa na jezi ya zamani?Makolo mengi hayana akili.
Huku niliko Zimedoda kabisa Kununulika na sasa Muuzaji anaziuza Tsh 3,000/= ( Shilingi Elfu Tatu Tatu ) hivyo nataka Kuzinunua hata Tano ( 5 ) tu na Kufutia na Kuzolea Mavi ya Mbwa Wangu wazuri ninaowafunga huku zingine zitaziweka kama Tandiko la Kufuta Miguu Watu wakiwa wanaingia Msalani ( Chooni )Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo
Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
hapo yanga wakiuza jezi 1m tayari wanamzidi simba anaepewa 1b kwa mwaka na vunja bei, kolo ni kolo tu.Halafu ndani ya hiyo elfu 60 wanapata 1300 kila jezi
Jezi zilizozinduliwa ni kwa ajili ya msimu mpya. Kwa mujibu wa ratiba msimu mpya haujafunguliwa dogo, ufunguzi wa msimu mpya ni mchezo wa awali wa ngao ya hisani. Makolo mengi hamnazo. Siku nyingine ukiwa hapo kwa shemeji yako umepandisha miguu sebuleni uwe na akili.Sawa, wewe mwenye kinyesi tufafanulie ni kwanini mmezindua jezi mpya halafu timu imecheza mechi wakiwa na jezi ya zamani?
Kwa hiyo pre season wanafanya kwa ajili ya msimu uliopita? Kinye fc hamnaga akili kabisaJezi zilizozinduliwa ni kwa ajili ya msimu mpya. Kwa mujibu wa ratiba msimu mpya haujafunguliwa dogo, ufunguzi wa msimu mpya ni mchezo wa awali wa ngao ya hisani. Makolo mengi hamnazo. Siku nyingine ukiwa hapo kwa shemeji yako umepandisha miguu sebuleni uwe na akili.
Nyeusi ndio inatembea sana ila njano pia inauzikaJana nimesikiliza wauzaji wa Jersey wa Mwanza wanasema Njano na Nyeusi ndio zinauzika sana.
Jezi ni mbaya hamna ubishi hata mashabik wa yanga wenyewe wana nunua iyo bac tu ku supportKama unajua hilo kwanini sasa ugeneralize kua mashabiki wote ni wajinga??
Huoni maoni yako yanaingiliana na kukataana.
hapo yanga wakiuza jezi 1m tayari wanamzidi simba anaepewa 1b kwa mwaka na vunja bei, kolo ni kolo tu.
Unaota unakunya wewe hebu amka ukachambehapo yanga wakiuza jezi 1m tayari wanamzidi simba anaepewa 1b kwa mwaka na vunja bei, kolo ni kolo tu.
Tulia bas kinyes fcKinachokuuma nn wewe
Kafie mbali
Jezi ni nzuri haina ubishi.Jezi ni mbaya hamna ubishi hata mashabik wa yanga wenyewe wana nunua iyo bac tu ku support
Jifunze kuandika kabla ya kuwa mbishi.Arsena ana nezi kali huwa hazina vibwengo wala makaburi
Tupo mie nilisifia jezi zile za msimu uliopita zile za vibwengo ..kiukqeli kitambaa cha ile jezi ni poa sanaa haichuji, ila iki cha sasa hasaniki cha network ukicheki ile mikora utazani chapati za majiJezi ni nzuri haina ubishi.
Hakuna siku mashabiki wa simba wakasifi kitu cha yanga.
MatakoHuku niliko Zimedoda kabisa Kununulika na sasa Muuzaji anaziuza Tsh 3,000/= ( Shilingi Elfu Tatu Tatu ) hivyo nataka Kuzinunua hata Tano ( 5 ) tu na Kufutia na Kuzolea Mavi ya Mbwa Wangu wazuri ninaowafunga huku zingine zitaziweka kama Tandiko la Kufuta Miguu Watu wakiwa wanaingia Msalani ( Chooni )