Hizi jezi za Yanga hadi kufikia siku ya Mwananchi zitauzwa 60 Tzs

Hizi jezi za Yanga hadi kufikia siku ya Mwananchi zitauzwa 60 Tzs

Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo

Kwa ushauri tu kama unataka jezi ya yanga jitaidi uwe na 40 to 45 unaweza kupata
Huku niliko Zimedoda kabisa Kununulika na sasa Muuzaji anaziuza Tsh 3,000/= ( Shilingi Elfu Tatu Tatu ) hivyo nataka Kuzinunua hata Tano ( 5 ) tu na Kufutia na Kuzolea Mavi ya Mbwa Wangu wazuri ninaowafunga huku zingine zitaziweka kama Tandiko la Kufuta Miguu Watu wakiwa wanaingia Msalani ( Chooni )
 
Sawa, wewe mwenye kinyesi tufafanulie ni kwanini mmezindua jezi mpya halafu timu imecheza mechi wakiwa na jezi ya zamani?
Jezi zilizozinduliwa ni kwa ajili ya msimu mpya. Kwa mujibu wa ratiba msimu mpya haujafunguliwa dogo, ufunguzi wa msimu mpya ni mchezo wa awali wa ngao ya hisani. Makolo mengi hamnazo. Siku nyingine ukiwa hapo kwa shemeji yako umepandisha miguu sebuleni uwe na akili.
 
Kwa hiyo pre season wanafanya kwa ajili ya msimu uliopita? Kinye fc hamnaga akili kabisa
 
Jana nimesikiliza wauzaji wa Jersey wa Mwanza wanasema Njano na Nyeusi ndio zinauzika sana.
 
Kama unajua hilo kwanini sasa ugeneralize kua mashabiki wote ni wajinga??

Huoni maoni yako yanaingiliana na kukataana.
Jezi ni mbaya hamna ubishi hata mashabik wa yanga wenyewe wana nunua iyo bac tu ku support
 
Propaganda fc Yaani simba wana mengi saana
 
Jezi ni nzuri haina ubishi.

Hakuna siku mashabiki wa simba wakasifi kitu cha yanga.
Tupo mie nilisifia jezi zile za msimu uliopita zile za vibwengo ..kiukqeli kitambaa cha ile jezi ni poa sanaa haichuji, ila iki cha sasa hasaniki cha network ukicheki ile mikora utazani chapati za maji
 
Huku niliko Zimedoda kabisa Kununulika na sasa Muuzaji anaziuza Tsh 3,000/= ( Shilingi Elfu Tatu Tatu ) hivyo nataka Kuzinunua hata Tano ( 5 ) tu na Kufutia na Kuzolea Mavi ya Mbwa Wangu wazuri ninaowafunga huku zingine zitaziweka kama Tandiko la Kufuta Miguu Watu wakiwa wanaingia Msalani ( Chooni )
Matako
 
NASUBIRI WIKI YA MWANANCHI IISHE NIJIVUTIE UZI WANGU
 
Back
Top Bottom