Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Nyie mmenyukwa nje ndani goli 7 na points 6 mchango tusemeje?Tayari wana Pointi 6 za dhuluma.
Pointi 3 waliwapoka Kagera Sugar baada ya goli la Kagera kukataliwa kiubabe.
Pointi 3 wamezipata kwa Coast kupunguzwa na kadi nyekundu kuwadhoofisha ili Uto washinde.
Ligi yetu pia imeshuka ubora Barani Afrika kutokana na matukio kama haya.