Nyie mmenyukwa nje ndani goli 7 na points 6 mchango tusemeje?Tayari wana Pointi 6 za dhuluma.
Pointi 3 waliwapoka Kagera Sugar baada ya goli la Kagera kukataliwa kiubabe.
Pointi 3 wamezipata kwa Coast kupunguzwa na kadi nyekundu kuwadhoofisha ili Uto washinde.
Ligi yetu pia imeshuka ubora Barani Afrika kutokana na matukio kama haya.
Ongezea na Kadi nyekundu ya Prisons. Wasingeishia kufuta Kadi Bali pia wangeadhibu hao waamuzi wanaotoa Kadi kwa mipango.Tayari wana Pointi 6 za dhuluma.
Pointi 3 waliwapoka Kagera Sugar baada ya goli la Kagera kukataliwa kiubabe.
Pointi 3 wamezipata kwa Coast kupunguzwa na kadi nyekundu kuwadhoofisha ili Uto washinde.
Ligi yetu pia imeshuka ubora Barani Afrika kutokana na matukio kama haya.
Kwenye mpira wa miguu sio kucheza na wachezaji pungufu ndio guarantee ya kushinda mchezo. Simba ilicheza na Mashujaa waliokuwa pungufu tokea first half lakini wameshindwa kumfunga.Ongezea na Kadi nyekundu ya Prisons. Wasingeishia kufuta Kadi Bali pia wangeadhibu hao waamuzi wanaotoa Kadi kwa mipango.
Si ajabu mashujaa walikuwa na uwezi wa kuifunga Simba Kama wangekuwa kamili , sio guarantee Ila inaharibu game plan.Kwenye mpira wa miguu sio kucheza na wachezaji pungufu ndio guarantee ya kushinda mchezo. Simba ilicheza na Mashujaa waliokuwa pungufu tokea first half lakini wameshindwa kumfunga.
Kama timu kupewa redcard ndio advantage ya ushindi basi wewe Nyau usingetolewa na Mashujaa kwa mchezaji wao kupewa umeme kipindi cha kwanza bila kusahau match ya Prisons walipata umeme lakini bado makafungwa.Tayari wana Pointi 6 za dhuluma.
Pointi 3 waliwapoka Kagera Sugar baada ya goli la Kagera kukataliwa kiubabe.
Pointi 3 wamezipata kwa Coast kupunguzwa na kadi nyekundu kuwadhoofisha ili Uto washinde.
Ligi yetu pia imeshuka ubora Barani Afrika kutokana na matukio kama haya.
Kama tulivyobebwa kwenye kukupiga Kono la Nyani na zile bao mbili za kizeeWakubebwa Fc ni kawaida yao...wakiona maji marefu wanafanyiwa figisu na marefa wao...
Ushamba huo..hujaacha tuu? Yani ili mfikie rekodi yetu ya kuwalamba magoli 6 ambayo hamjaivunja mpk leo mmeona muunganisha mpate 7. ....Kama tulivyobebwa kwenye kukupiga Kono la Nyani na zile bao mbili za kizee
Wakati mwingine uone aibu, ushabiki unakutoa akili.Ushamba huo..hujaacha tuu? Yani ili mfikie rekodi yetu ya kuwalamba magoli 6 ambayo hamjaivunja mpk leo mmeona muunganisha mpate 7. ....
Msimu huuu bila kubebwa hz mechi tatu mngekua ICU....aibu
Mechi vs prisonOngezea na Kadi nyekundu ya Prisons. Wasingeishia kufuta Kadi Bali pia wangeadhibu hao waamuzi wanaotoa Kadi kwa mipango.
Nazungumzia Kadi mchongo.Mechi vs prison
Yanga ndo wakwanza kupewa kadi na wakati prison anapewa kadi tayari yanga anaongoza na zilikua dakika za jion
Ila walichofanikiwa viongozi wa simba ni kuwaaminisha mashabiki wa Simba kwamba kufeli kwao ni yanga kubebwa
Kwani hizo kadi msimu huu tu ndo marefa wanakosea mbona misimu yote lazima wakoseeNazungumzia Kadi mchongo.