ESCORT 1 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 1,412 Reaction score 3,043 Jan 28, 2025 #1 Sijawahi kueleww lengo la kuweka kalamu kwenye boxer! Lengo ni nini hasa?
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Jan 28, 2025 #2 Ni zawadi tu, hata kwenye vest wanaweka. Au ndi unaanza kuninunukia boxer?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 28, 2025 #3 Zawadi tu. NB;Kuorodhesha mishangazi iliyoona boxers zako mubashar/live!
OC-CID JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 200 Reaction score 463 Jan 28, 2025 #4 Moisemusajiografii said: Zawadi tu. NB;Kuorodhesha mishangazi iliyoona boxers zako mubashar/live! Click to expand... Fala sana 🤣
Moisemusajiografii said: Zawadi tu. NB;Kuorodhesha mishangazi iliyoona boxers zako mubashar/live! Click to expand... Fala sana 🤣
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 999 Reaction score 1,898 Jan 28, 2025 #5 Ulitaka ukute miwa? Hiyo kalamu umeuziwa kijanja pamoja na boxer ..
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 2,044 Reaction score 4,558 Jan 28, 2025 #6 Wanajua consumer wengi ni wanafunzi
Gatabhanya JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2,644 Reaction score 5,178 Jan 28, 2025 #7 Mi mwenyewe huwa nashangaa ngoja waje wajuzi huenda tukaelewa
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jan 28, 2025 #8 Ni moja ya njia za masoko za kumshawishi mnunuzi; mfano kwenye jinsi unaweza kuta pochi n.k
Baraka Kasinge Member Joined Apr 4, 2016 Posts 60 Reaction score 69 Jan 28, 2025 #9 Usizichome, ndugu.
Nomadix JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 2,411 Reaction score 6,646 Jan 28, 2025 #10 Zangu nilikuta na daftari
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Jan 28, 2025 #11 Nahisigi wanakumbusha kusoma kuwe juu kuliko Miti.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 28, 2025 #12 Umenunua Uvae Hizo Boxer
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jan 28, 2025 #13 Autograph kwa mademu utakao wakula.
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Jan 28, 2025 #14 Kuandikia idadi ya pisi ulizozichapa.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jan 28, 2025 #15 Na kwenye condom watuwekee na mbunye
OC-CID JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 200 Reaction score 463 Jan 28, 2025 #16 Wangeweka walau vitumbua
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 28, 2025 #17 OC-CID said: Fala sana 🤣 Click to expand... Kinomanoma ile ngumu.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 28, 2025 #18 Mbaga Jr said: Na kwenye condom watuwekee na mbunye Click to expand... Bado Elon Musk anazibumba vizuri.Ujitulize kama kasuku.
Mbaga Jr said: Na kwenye condom watuwekee na mbunye Click to expand... Bado Elon Musk anazibumba vizuri.Ujitulize kama kasuku.
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 8,853 Reaction score 19,587 Jan 28, 2025 #19 use it to put a signature on ur lol pop 😌