CRDB hali mbaya, share za crdb zipo chini kuliko hata baadhi ya community banks.CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa
nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio wananawiri huku ukurugenzi wanapokezana wenyewe kwa kujuana. AGM zinapangwa kwa kushtukiza unastukia ishapita. financial reports huwezi pata kwenye mtandao. recently wanadai wanafanya vizuri lakini gawio hawatoi.
Unaijua management team ya hao TOL?CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa
nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio wananawiri huku ukurugenzi wanapokezana wenyewe kwa kujuana. AGM zinapangwa kwa kushtukiza unastukia ishapita. financial reports huwezi pata kwenye mtandao. recently wanadai wanafanya vizuri lakini gawio hawatoi.
hisa laki moja ni sawa na 200m kama sikosei ni watanzania wangapi wenye hiyo pesa?Bora hata hao Crdb wanatoa sh10 maana kama una hisa laki 1 unakamata milioni kabla ya kodi, kampuni nyingine toka ziuze hisa kila mwaka hasara tu, tunabaki na matumaini ya siku moja watagawa hata sh 5.
Wordunatoa mamilioni kununua hisa wakati kuna kilimo cha umwagiliaji huko, ati kisa kuna kigogo kanunua......!!!!!!
CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa
nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio wananawiri huku ukurugenzi wanapokezana wenyewe kwa kujuana. AGM zinapangwa kwa kushtukiza unastukia ishapita. financial reports huwezi pata kwenye mtandao. recently wanadai wanafanya vizuri lakini gawio hawatoi.
Kwa mwaka mkuu...mambo ya hisa sio ya kukimbilia kabisaHiyo divident ya sh 10 hutolewa kwa mwezi au kwa wiki au kwa siku?
hisa laki moja ni sawa na 200m kama sikosei ni watanzania wangapi wenye hiyo pesa?
kama dividend ni shs 10.00 kwa hisa ili upata japo milioni uwe na hisa ngapi na za shs ngapi? hilo ndio soka la hisa la DSM na wawekezaji wake wa kisanii saniiUwekezi 200m upate faida 1m kwa mwaka tena kabla ya kukatwa kodi, kama si wendawazimu huu basi bora uitwe wehu.
Na washawasha!
kwa mwakaHiyo divident ya sh 10 hutolewa kwa mwezi au kwa wiki au kwa siku?
watanzania wanalijua hilo?hisa laki moja ni sawa na 200m kama sikosei ni watanzania wangapi wenye hiyo pesa?
Duuh!! Kwa mfano hisa moja inauzwa sh 500, nikiwa na sh laki tano ntanunua hisa 1000, ikiwa kila hisa napata faida( divident) sh 10, then nitakuwa na faida ya sh 10 ×1000 sawa na Tsh 10,000 kwa mwaka.Kwa mwaka mkuu...mambo ya hisa sio ya kukimbilia kabisa
hisa laki moja ni sawa na 200m kama sikosei ni watanzania wangapi wenye hiyo pesa?