Hizi kampuni DSE walizoshika hawa jamaa zetu dividend ni kilio

Hizi kampuni DSE walizoshika hawa jamaa zetu dividend ni kilio

DSE Kama inataka kurutubisha hilo soko lao walazimishe makampuni yalipe dividend kila muhula.
 
Hisa za Crdb hushuka mpaka tsh 150 kwa hisa, 150 zidisha lak 1 ni milioni 15. Si milion 200.
primary issue waliuza hisa moja sio chini ya shs 500. badala ya kupanda thamani thani imeshuka hadi shs 150 kwa hisa.
 
hisa laki moja ni sawa na 200m kama sikosei ni watanzania wangapi wenye hiyo pesa?
Mahesabu yako hayako sawa.
Hisa CRDB ni shilingi 185 kwa hisa.

Hisa 100,000 ni Shs 18,500,000.
 
Duuh!! Kwa mfano hisa moja inauzwa sh 500, nikiwa na sh laki tano ntanunua hisa 1000, ikiwa kila hisa napata faida( divident) sh 10, then nitakuwa na faida ya sh 10 ×1000 sawa na Tsh 10,000 kwa mwaka.
Hii biashara anaweza kufanya kichaa
soma financia statements za crdb, tanga cement nk utaoona maajabu ya uwekezaji wa hiza tanzania labda uje uuze hizo hisa bei yake ikipanda lakini si kwa kutegemea dividend
 
soma financia statements za crdb, tanga cement nk utaoona maajabu ya uwekezaji wa hiza tanzania labda uje uuze hizo hisa bei yake ikipanda lakini si kwa kutegemea dividend
Hilo nalo neno, biashara hii inalipa kwa sasa zaidi kwa staili ya kununua na kuuza bei ikiwa chini na inapopanda.

Huyo anaesubiri dividend imekula kwake. Faida utaiona nzuri ikipita miaka kadhaa
 
Hili bomu hatari sana. Vigogo wa hizi taasisi Mungu anawaona!

Hayo mabenki yanawabana wateja na tozo lukuki huku wanahisa wakiambulia patupu, ukiwauliza wanakwambia BOT ndio regulator.
hapo ndio shida. serikali tu kwenye kampuni za binafsi wana hisa wanapigwa ile mbaya. hadi jpm ameingia ndio hataki upuuzi anadai gawio. hawa airtel kuna hisa kubwa ya serikali wahindi kila mwaka wanajidai wamepata hasara. bila DSE kuwajibika wawekezaji hisa kwenye kampuni za wajanja wameliwa.
 
Hilo nalo neno, biashara hii inalipa kwa sasa zaidi kwa staili ya kununua na kuuza bei ikiwa chini na inapopanda.

Huyo anaesubiri dividend imekula kwake. Faida utaiona nzuri ikipita miaka kadhaa
hisa za kampuni kuwa juu, maana yake ni kuwa kampuni inafanya vizur sokon, yaan mauzo yake ni mazur, ambapo inamaanisha kuna profit, sasa kwann useme kuwa mtu ulenge faida kwenye kuuza hisa kuliko gawio?. mm nnachofikria ni kuwa hao DSE wawe na access ya moja kwa moja yaan wacheze na vitabu vya mahesabu vya hayo makampuni na kuyaweka hadharan kwa wateja au wanahisa wao kuliko kusubiria management za hayo makampun ambayo mengi yanaleta taarfa zisizo sahihi kwa wateja wao, inaumiza sana kwa kwl
 
Kwa hali ilivyo katika soko la hisa Tanzania ni afadhali kungoja bei ya hisa ulizonunua zipande ili uziuze (yaani demand ya wanunuzi iwe kubwa kuliko wauzaji) badala ya kusubiri dividends (gawio) maana makampuni mengi huwa wanatangaza faida kidogo kila mwaka ili watoe gawio dogo. Hata wengine kama akina Precision Airways ndio hawatangazi kabisa kuhusu faida hivyo gawio linakuwa halipo!
 
Mlonunua shares Voda mjiandae
ukitaka kujua hisa Iakua na mafanikio au la kwa dse anagalia top management, ukiona top management sio wabongo ujue hapo mambo yatakuwa mazuri. makampuni yanayofanya vizuri kwenye soko asilimia kubwa management ni watu wa nje, anza na Acacia, tbl, tcc, jhl, eabl, sasa angalia zinazofanya vibaya hapo unakuta crdb, mkombozi, mcb, dcb ,tol, yani hata kwenye sector ya kifedha ambayo watu hawapendi kudeal nazo benki yenye management ya kigeni ndio inaongza kwa kufanya vizuri ambayo ni NMB, kwa vodacom lazima watu wafaidike hata kama ni kwa kiasi kidogo
 
Kwa hali ilivyo katika soko la hisa Tanzania ni afadhali kungoja bei ya hisa ulizonunua zipande ili uziuze (yaani demand ya wanunuzi iwe kubwa kuliko wauzaji) badala ya kusubiri dividends (gawio) maana makampuni mengi huwa wanatangaza faida kidogo kila mwaka ili watoe gawio dogo. Hata wengine kama akina Precision Airways ndio hawatangazi kabisa kuhusu faida hivyo gawio linakuwa halipo!
precission air ni kama TOL. walileta DSE prospectus ya kubuni kuonesha faida baada ya kuuza share ceo mkenya akaingia mitini kwao kenya na kumuachia mtz boya.
 
Ivi washkaji zangu Tanzania cigarettes company, wao gawio Lao lipoje. Maana awa jamaa ni kimiya Sana. Kuanzia website yao mpaka financial information zao zipo kimiya saana. Mwenye kujua hisa zao na gawio lilitoka mwaka huu
 
Duuh!! Kwa mfano hisa moja inauzwa sh 500, nikiwa na sh laki tano ntanunua hisa 1000, ikiwa kila hisa napata faida( divident) sh 10, then nitakuwa na faida ya sh 10 ×1000 sawa na Tsh 10,000 kwa mwaka.
Hii biashara anaweza kufanya kichaa
Hahahah aisee nadhani umeona mwenyewe hapo
 
Kwa mwaka mkuu...mambo ya hisa sio ya kukimbilia kabisa

Hisa ni long term investment. Kwa kampuni inayofanya vizuri, unafaidika na dividend na pamoja na kupanda kwa thamani ya hisa.

Mfano, East African Breweries walipouza hisa zake za TBL kama miaka mitano iliyopita bei ilikuwa ni Tshs. 2,060/=. Sasa hivi bei ni Tshs. 12,000/=; (imeongezeka mara 6).

Hisa za mwanzo kabisa za TBL ziliuzwa kwa Tshs. 500/=; Unaweza kuona tofauti yake na bei ya sasa ya Tshs. 12,000.
 
Back
Top Bottom