Hizi kauli ushawahi sikia kutoka kwa walimu pindi unasoma?

Hizi kauli ushawahi sikia kutoka kwa walimu pindi unasoma?

Therapist 2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
791
Reaction score
831
Habar ya asubuhi, wana JF
hivi ushawahi experience hichi kitu kipindi unasoma shule!!

Wewe ulisikia kipi kutoka kwa walimu wako?
IMG-20181012-WA0000.jpg
 
[emoji16] wadau wameenda kukua shule.
Duuh!
 
Daah iyo number 4 nakumbuka kidogo isababishe mgomo mzito

Watu tulipingana nayo vikali sana..wengine tumekuja shule tunajuana kitambo (muda huo shule ni fimbo mingi)
 
SIO WALIMU ILA KUTOKANA NA MTOA MADA ANAMAANA ULIPOKUA UNASOMA KAULI ZIPI ULIZI EXPIRIENCE... VPI HUJANYWA CHAI NINI
HAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAH NAMBA 7 IS MY FAVOURITE AISEE
Your favourite i thought unaitumia. Sijanywa chai mkuu vyuma inabidi nipige pasi ndefu hadi saa tisa nikipiga ugali mkubwa mpaka kesho tena.
 
kuna mwalimu alikua huniambia mutanikumbuka. Saivi nikikutana nae namgaia japo buku 10. mungu tusamehe
 
"Baba yako ana majengo kama hayaa"mwenye shule
 
"UNAJUA SUZZY WE NI MREMBO KAMA MALAIKA" KAULI HII NILIKUWA NIKIMWAMBIA MWANAFUNZ WANGU.SIKUTUMIA KAULI ZA AJABU NA ZISIZOKUWA NA MAADILI KAMA HIZO APO JUU WALIMU TUKUMBUKE HIZO KAULI ZINAVUNJA WANAFUNZ MOYO
 
"Mtoto, umeanza kuvuta bangi" hapo nimelipunguza bwanga na kuwa modo😎😎😎😎 tabu za shule starehe za baadaye
 
"UNAJUA SUZZY WE NI MREMBO KAMA MALAIKA" KAULI HII NILIKUWA NIKIMWAMBIA MWANAFUNZ WANGU.SIKUTUMIA KAULI ZA AJABU NA ZISIZOKUWA NA MAADILI KAMA HIZO APO JUU WALIMU TUKUMBUKE HIZO KAULI ZINAVUNJA WANAFUNZ MOYO
Hapo suzzy alikuwa anasuuzika kweli kweli😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom