Hizi kelele kelele za Henock Inonga imeitwa kwajili ya World cup 2022 au mechi mechi za kirafiki tu

Hizi kelele kelele za Henock Inonga imeitwa kwajili ya World cup 2022 au mechi mechi za kirafiki tu

Wewe huwa unakuwa na mada za kipumbavu sana, kwa akili hizi sijui tu perfomance yako katika maisha ya kawaida ikoje.
 
Ameitwa kwa ajili ya mchezo tu wa kirafiki. Na ukumbuke uwezekano wa yeye kucheza kwenye huo mchezo, ni 1% pekee.
 
Mkuu usipate shida
Mashabiki wa Simba washajua ubingwa hawawezi chukua kwahiyo kwasasa wanaleta ligi hata kwa vitu vya kijinga.
 
Ameitwa kwa ajili ya mchezo tu wa kirafiki. Na ukumbuke uwezekano wa yeye kucheza kwenye huo mchezo, ni 1% pekee.
Kwani mdaka mishale amecheza mechi ngapi za kimataifa baada ya kuitwa team ya taifa ili twende sawa maana naona una double standard hapa unaumia ukiwa wapi mda huu
 
Mkuu usipate shida
Mashabiki wa Simba washajua ubingwa hawawezi chukua kwahiyo kwasasa wanaleta ligi hata kwa vitu vya kijinga.
Vitu vya kijinga striker bora east Africa hajaitwa national team halafu unasema mambo ya kijinga.
 
Back
Top Bottom