Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kibatala anatembeza sana rushwa, hiyo tunaijuaHizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri.
Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo ya Sheria zetu, Anacheza na Mashimo ya Ofisi ya DCI , Ofisi yakipuuz8 inayofanya kazi kwa MAZOEA, ujinga mwingi, uzembe ,upumbavu !!.
Huwezi kua na Askari aliyefeli kidato cha Nne, utegemee Akuletee Ushahidi usokua na Mashaka katika Kesi za Mauaji kama haya ambayo Muuaji na Wlwashirika wake wanakua Wamekata na kupanga kwa muda mrefu namna gan watatekeleza Mauaji pasipo kuacha Alama yoyote !.
SASA ,NINAWAULIZA DCI na JESHI LA POLISI.... Hawa watu waliouwawa kwa Kuchinjwa, kupigwa Risasi, kuchomwa moto , WALIJIUA WENYEWE ET EEEHH???.
Majaji Wetu HawaNi rushwa tu imetembea.
Na kwa ccm haiwezi kuweka watu wenye akili kwenye hizo nafasi, maana hawawezi kukubali kutumika kwenye siasa za kipuuzi. Wanawaweka hao failures ili waweze kuwatumia watakavyo.NAFASI ambazo zinahitaji watu werevu wa Akili, Wameweka makada wao wapumbavu
Nilikuwa najua una utoto mwingi, ila sikutegemea ni kwa kiwango hiki!Kibatala anatembeza sana rushwa, hiyo tunaijua
hapa umesemaKibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo ya Sheria zetu, Anacheza na Mashimo ya Ofisi ya DCI , Ofisi yakipuuz8 inayofanya kazi kwa MAZOEA, ujinga mwingi, uzembe ,upumbavu !!.
Unakaa kwenye Engo Fulani, unatuliza akili yako, Unaniuliza kama ni Kaka yako ndio kauwawa, na Wauaji wanaachiwa kizembe namna hii !!.hapa umesema
ni jambo la kawaida tu kisheria gentleman 🐒Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri.
Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo ya Sheria zetu, Anacheza na Mashimo ya Ofisi ya DCI , Ofisi yakipuuz8 inayofanya kazi kwa MAZOEA, ujinga mwingi, uzembe ,upumbavu !!.
Huwezi kua na Askari aliyefeli kidato cha Nne, utegemee Akuletee Ushahidi usokua na Mashaka katika Kesi za Mauaji kama haya ambayo Muuaji na Wlwashirika wake wanakua Wamekata na kupanga kwa muda mrefu namna gan watatekeleza Mauaji pasipo kuacha Alama yoyote !.
SASA ,NINAWAULIZA DCI na JESHI LA POLISI.... Hawa watu waliouwawa kwa Kuchinjwa, kupigwa Risasi, kuchomwa moto , WALIJIUA WENYEWE ET EEEHH???.
mimi nimekuunga mkono mkuuUnakaa kwenye Engo Fulani, unatuliza akili yako, Unaniuliza kama ni Kaka yako ndio kauwawa, na Wauaji wanaachiwa kizembe namna hii !!.
Visasi havitokaa kuisha kwa namna hii!!.
Kibatala hana tofauti na wakili Median Mwale wa Arusha aliyekuwa akitetea majambazi na wahalifu wengine wakubwa. Kilichompeleka jela ni kutakatisha fedha za maharamia wa kisomali.Kibatala anatembeza sana rushwa, hiyo tunaijua
Yeaah Super Sami .Samahani,hivi unamaanisha waliomuua Super Sami au Super Feo,maana sijapata habari kama mmiliki wa Super Feo kauliwa!!
Hata mimi nimeshtuka, labda nimepitwa na habari za kifo cha mmiliki wa Super Feo!Samahani,hivi unamaanisha waliomuua Super Sami au Super Feo,maana sijapata habari kama mmiliki wa Super Feo kauliwa!!
Kwenye kesi nzito kama zile Rushwa Huwa Haina nafasi.Kibatala anatembeza sana rushwa, hiyo tunaijua
Super SamiSamahani,hivi unamaanisha waliomuua Super Sami au Super Feo,maana sijapata habari kama mmiliki wa Super Feo kauliwa!!