Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri

Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri

Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri.


Dada wa Msuya akauliwa,
J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa.
Super Sami aliuwawa, Wakafungwa na kuhukumiwa Kunyongwa, Leo Wameachiwa

Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo ya Sheria zetu, Anacheza na Mashimo ya Ofisi ya DCI , Ofisi yakipuuz8 inayofanya kazi kwa MAZOEA, ujinga mwingi, uzembe ,upumbavu !!.

Huwezi kua na Askari aliyefeli kidato cha Nne, utegemee Akuletee Ushahidi usokua na Mashaka katika Kesi za Mauaji kama haya ambayo Muuaji na Wlwashirika wake wanakua Wamekata na kupanga kwa muda mrefu namna gan watatekeleza Mauaji pasipo kuacha Alama yoyote !.


SASA ,NINAWAULIZA DCI na JESHI LA POLISI.... Hawa watu waliouwawa kwa Kuchinjwa, kupigwa Risasi, kuchomwa moto , WALIJIUA WENYEWE ET EEEHH???.
Kwahiyo kibatala anatetea wauwaji na kuwaweka Huru
 
Lazima tujue kwanza kazi ya wakili wa utetezi ni nini, yeye anachotetea ni kuhakikisha mtuhumiwa anapata haki yake, tuseme wakili pamoja na mtuhumiwa wote wanajua ukweli kuwa mtuhumiwa kweli aliua sio jukumu lao kuthibitisha au kutothibitisha hilo, hili la kuthibitisha hatia ni wajibu wa upande wa Mashtaka.
 
KIbatala na polisi nan mwenye tatizo? Tatizo ni sheria zenu za kizungu.
 
Back
Top Bottom