Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri

Kwahiyo kibatala anatetea wauwaji na kuwaweka Huru
 
Lazima tujue kwanza kazi ya wakili wa utetezi ni nini, yeye anachotetea ni kuhakikisha mtuhumiwa anapata haki yake, tuseme wakili pamoja na mtuhumiwa wote wanajua ukweli kuwa mtuhumiwa kweli aliua sio jukumu lao kuthibitisha au kutothibitisha hilo, hili la kuthibitisha hatia ni wajibu wa upande wa Mashtaka.
 
KIbatala na polisi nan mwenye tatizo? Tatizo ni sheria zenu za kizungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…