Hizi laptop zimefika Bongo?

Hizi laptop zimefika Bongo?

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Bei yake ikoje??
FB_IMG_1706185308396.jpg
 
Siku yake ya kwanza kula mmea Kageuza inasomeka jade badala ya acer

Ila yuko sawa ukiandika chini 6 inaweza kusemeka 9 inategemea na upande uliosimama
 
Nilidhani ni kitu cha maana nakuja kufungua picha nimebaki nacheka tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom