By hair
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 141
- 37
Tanzania hii ufisadi unazidi kila kukicha,sipo hapa kupinga watu kulipa kodi,lahasha.bali jinsi mambo yanavyokwenda.mashine hizo hizo,kuna walionunua 2200000",1200000".mwaka huu wanauza 800000 mpaka 700000.hapo tu kuna shida.pili ukienda Uganda,kenya.watu wote wenye mitaji ya Kati wanatumia Vitabu vya lisiti.na wakati huo huo,nchi Kama kenya ndio inayoongoza kwa kukusanya kodi maeneo husika.Tatizo Tanzania hii ya Leo watawala watu kazi Yao ni kuiba tu.panapotakiwa kutoza kodi,hawatozi, Bali wanatoa misamaha ya kodi.mfano kwenye madani.makampuni makubwa,na kwingineko.pili wao biashara zao ni pembe za ndovu,madawa ya kulevya.kuiba fedha za miradi kwenye halimashauri nk.sasa watueleze Kama wanamashine za kutolea risiti kwenye wizi wao huo.mfano kuna mfanya biashara wilayani tarime Ana duka,Ana Sheli ,ana mabasi,anauza Pia na magari,lakini anatoa risiti ya kitabu badala ya risiti ya mashine.na hakuna TRA anayethubutu kumsogelea,kisa ni kada wa Chama cha mapinduzi.(CCM) .ila sasa anzisha kaduka kako ka laki 5'.kesho yake TRA wametia timu.mwekezaji yeye anapewa miaka 5 kuangalia mazingira ya biashara Kama itamlipa ama laa.Namaliaza kwa kusema serikali kusanyeni kodi ipasavyo sio kuonea masikini,nyie kazi kuiba na kuficha fedha uswisi.