Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mzee wa kimila hua anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka akasema mtu wa kwanza kutoka eneo la kaburi ndio atakaefata kufa. Leo siku ya tatu bado tunazunguka zunguka tu hapa kaburini pamoja na yule mzee... kweli kifo sio kizuri!
πππ
Nimeipenda bure hiyo signature yako mkuu... NICE!hahahaha
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mzee wa kimila hua anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka akasema mtu wa kwanza kutoka eneo la kaburi ndio atakaefata kufa. Leo siku ya tatu bado tunazunguka zunguka tu hapa kaburini pamoja na yule mzee... kweli kifo sio kizuri!
πππ
Nimeipenda bure hiyo signature yako mkuu... NICE!
Wameiona ila njo vile!hahaha, mods bado hawajaiona....
Tuondoke hatujipendikifo si mchezo . mpaka leo bado mpo au mliondoka Red Scorpion