Hizi mila zingine sio nzuri

Hizi mila zingine sio nzuri

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mzee wa kimila hua anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka akasema mtu wa kwanza kutoka eneo la kaburi ndio atakaefata kufa. Leo siku ya tatu bado tunazunguka zunguka tu hapa kaburini pamoja na yule mzee... kweli kifo sio kizuri!

🙁🙁🙁
 
092a3dd8a3d23343810fa8c8c89327d6.jpg
 
Wee jamaa unaweza kusababisha wenzio tukafukuzwa vibarua bure. Nilikuwa sijafurahi kama week nzima hivi. Asante kwa usanii.
 
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mzee wa kimila hua anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka akasema mtu wa kwanza kutoka eneo la kaburi ndio atakaefata kufa. Leo siku ya tatu bado tunazunguka zunguka tu hapa kaburini pamoja na yule mzee... kweli kifo sio kizuri!

🙁🙁🙁
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku tatu tu mbona ndogo hivyo. Ongezeni tu nyingine 37 ili zitimie kabisa siku 40 mkiwa huko ndo mrudi.
 
Back
Top Bottom