Hizi Mimba Nazo

Hizi Mimba Nazo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Dah lakini hizi mimba hua zinatunyosha
unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha,
"beb nipeleke petrol station niende kunusa petroli"
*mke wangu kwani unazaa Boda boda????*[emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji121]
 
Dah lakini hizi mimba hua zinatunyosha
unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha,
"beb nipeleke petrol station niende kunusa petroli"
*mke wangu kwani unazaa Boda boda????*[emoji102] [emoji102] [emoji102]
Hahahaaa duh hii ni nowma joh.!
 
Ndivyo walivyo wakiwa na mimba utafikiri wanafanya kusudi eti saa 8 usiku akuamsha anataka soda baridi je ni sawa jamani
 
Amka fungua tank la gari anuse, unless anataka iliyochanganyika na harufu ya muuzaji wa kiume
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi uamke tu,utafikiri kuwa mtoto ndo anapiga hodi getini.
 
Back
Top Bottom